Kizazi jeuri
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 297
- 64
CC ngapi mkuu + odometer yake inasomekaje!
weka picha basi
weka picha basi
CC ngapi mkuu + odometer yake inasomekaje!
Ni Kali saaana mpya
Weka picha kaka.
Yaani imetembea 100K km?
Milioni 12 kwa gari kama hiyo?Ach masihara dogo, 12M si afadhali ninunue Rav 4 old model gari ambayo ni ya uhakika zaidi?
1990 mkubwa wangu ni VVTi
Kweli wewe shule tatizo
Nimesoma vizuri hapo kwenye mwaka?