Binadamu ni toxic +Siku hizi hata hatusalimii amajifanya yupo busy na kazi atafukuzwa tu
Mkuu mpaka mtu anaongea hivyo ngumi unakuwa umeziacha wapi ?Mfano umeweka akiba yako umenunua gari lako safi una enjoy unamsikia rafiki yako wa karibu mpo kwenye group anasema watu tunapiga kazi bwana tupate pesa tujenge sio vijana wa siku hizi wanakimbilia kununua magari, anasema hivi makusudi akijua kwamba kwenye kundi hilo ni wewe tu umenunua gari wengine hawana, unajua kabisa hili ni dongo limetumwa kwangu indirect.