Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #21
AhahahaWAPI NITAPATA HEALTHY SPINSTERS Money Penny kwa maana mimi ni Health Bachelor
Nimecheeeka
Wapoooo ila ngoja kwanza mvua ziishee sa hivi clients wameishaaa
AhahahaWAPI NITAPATA HEALTHY SPINSTERS Money Penny kwa maana mimi ni Health Bachelor
Ni sheedah! Turawapa maziwa toxic bachelors
Kwakweli siwezi usemea moyo wa mtu ukiniuliza mimi tu utakuwa unakoseaNatakakujua kwa dhatikabisa.
Wanawake wasioisha kuwaza kuolewa hawawezi kuendesha maisha yao bila kuolewa au wanajibweteza tu?
Halafu, wanaodai usawa na wanaume ni hawa hawa au hao ni wengine tofauti?
Kama unadhani wazuri wasogezee dadako au mpenz zako uisome nambaKumbe wabaya eeh
Heheehheahahaaa hivi upo 40 ngapi r?
Live band mpaka saa ngap labda?!leo nipo hapa ofsini kwetu it plaza kuna live band so ?
Aisee! Aya weeeCc: money peny uyo sio toxic bachelor bhana
uyo ni boya kama maboya wengine weee period siku saba na wewe unakubali si ufalaa uwo
angekutana na mimi ningemnyoosha vizuri tuu na hapati ata sumni anajikuta mjanja kumbe ndezi kama mandezi wengine tu
Ahahaha bora utafute ben 10!ni kweli kabisa money penny aisee wanaume ambao hawajawai kuoa na wapo miaka hyo uliyosema ni very toxic. hawana malengo,wapo aftermoney au papuchi yaani nothing good from them ever bora utafute kiserengeti au lizee
Hahahahahahah!!!!!!!!!Jamaa ndukiiiiiiiiiiiii......Toxic bachelor kakomaa ntaku teach, rafkiangu akamwambia sawa nina hizi HIV medical test nataka tupime kabla hatuja duuu!
Kwani alitokea sasa huyu Toxic Bachelor?! Anaanzaje sasa hata simu hapigi tena wala sms hatumiii... ndo ivyo ikawa mwishoo wa toxic bachelor ku exist kwenye maisha ya rafkiangu!
Nimeskia sana kuhusu hawa bachelor sugu mtaani wanajulikana kama toxic bachelor
Aged 41-47, wengi wanakuwa wameamua kiwa single but not committed wao wanapenda bubaaa tuu na kukupa empty promise ulainike ujue kweli!
Plus wanapenda sana kuwapiga Single women, single mothers ....and Desperate ones!
Rafkiangu alikutana na bachelor m1, kwenye mataa ya kutoka posta wakiwa kwenye foleni, wakasalimiana wakavuka mataa wakafika ya redcross wakasimama tena waka exchange contacts!
Wakadate 2 - 3 times lakini mwanaume alikiwa na zile mambo za we weee wee!
We will gooo... we will do this... we will do thaaat... weee wee weee!
Sitaki kuku hit and run .. ninataka fyucha na wewe ... nakupenda kikweliii .. bachelor sasa anaongeaa
Hakujua rafkiangu mwenyewe mwendo kasi kama money penny
Siku wamepanga kukutana for match, rafkiangu akavaa pedi feki, jamaa akakagua akaikutaaa, akamvumilia siku 7 kadanganywa anaenda mp!
Baada ya siku 7 rafkiangu akamwambia ubajua me bikra, sijui kabisa mechi! Toxic bachelor kakomaa ntaku teach, rafkiangu akamwambia sawa nina hizi HIV medical test nataka tupime kabla hatuja duuu!
Kwani alitokea sasa huyu Toxic Bachelor?! Anaanzaje sasa hata simu hapigi tena wala sms hatumiii... ndo ivyo ikawa mwishoo wa toxic bachelor ku exist kwenye maisha ya rafkiangu! Very Stuuupeeeed Men!
Alafu sio peke yake, wengine walishadanganywa mpaka wakazalishwa watoto 2, 3, hamna cha ndoa wala sherehe
Nuna marafiki wameshapata hata na ukimwi wamerudi kijijini kulimaaaa!
Najua times are hard now in Tz, na naelewa sana, single women loves to hear a word WE! Ila ndo muwe carefull maana naskia toxic bachelor wamemwagwa Dar sasa hivi wapo kibaoo! Kwenye ma night clubs na big hotels!
Have you met those guys?! Je ushawahi kukutana na hao Toxic Bachelor maishan mwako?!
Tupe Dvd kwako ilikuwaje!
Ps:
Toxic bachelors ni zaidi ya YAHAYA Ooo!
44 tu.ahahaaa hivi upo 40 ngapi r?
Mmmh ngumu kumezaaNi hivi,usiombe kukutana na Bashite,kitumbua chako lazima akitie mmchanga-Nick wa II