Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #41
Acha kabisa dadanguTena afadhali ukutane na 35+ wanajua wanataka nini hao 40+ ni hatari.
Njoo na huku uone vitukoo
Bubu wa Kugongea
Acha kabisa dadanguTena afadhali ukutane na 35+ wanajua wanataka nini hao 40+ ni hatari.
Kwa jibu hili ni bora ukianzisha sred usiwe na hasira mkuu. Haya ni masuala ya kawaida na wengi yanawapata. Nina mfano kuna jirani yangu kaolewa akiwa na 47 na mwanaume ana 50 na hakuwahi kuoa au kuwa na mtoto (both of them). Maisha ni game of chanceKama unadhani wazuri wasogezee dadako au mpenz zako uisome namba
Me mbina sina hasira bro!Kwa jibu hili ni bora ukianzisha sred usiwe na hasira mkuu. Haya ni masuala ya kawaida na wengi yanawapata. Nina mfano kuna jirani yangu kaolewa akiwa na 47 na mwanaume ana 50 na hakuwahi kuoa au kuwa na mtoto (both of them). Maisha ni game of chance
Nakuja Smk Smk MskUje huku nikufundishe kitu bro
Bubu wa Kugongea
Poa ntakuwepo saa 6 usiku lknNakuja Smk Smk Msk
Sawa dearAhahaha
Nimecheeeka
Wapoooo ila ngoja kwanza mvua ziishee sa hivi clients wameishaaa