Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Ndo imekupata sawa sawa. Makampuni makubwa kuwa hacked haihalalishi tigo nao kuwa hacked.

Mkuu tuseme wewe ni teja wa hayo makitu?

Iweje mambo ya IT na cyber uyatolee mfano na kuyashusha hadhi namna hiyo kwa mifano ya kisengerenyuma ya kina J. Delicious?

Wengine hatutaki kushirikishwa dhambi hiyo kwa kuona hata kusikia.
 
Brother nadhani Huna exposure na Mambo ya ICT Worlwide; Tigo ni Kampuni Ndogo; Kuna Kampuni Kubwa Level ya Dunia Zilidukuliwa
2008 Kuna Kampuni ya Marekani inaitwa Hertland ilidukuliwa, Hii tena ilikuwa inashughulika na Payment System, Kulikuwa na Visa card za kutosha taarifa zilibebwa

Ebay Pia ilidukuliwa mwaka 2013 au 2014 SIna hakika Sana; Ila ilidukuliwa.

Ila Hata Linkedin tu, nayo Ilishadukuliwa, nakumbuka Mwaka 2012, Yahoo pia ilishawahi kudukuliwa hata miaka minne haijapita;

Hizo kampuni nilizokutajia, ni Biggest company ambazo zina High mechanism za Security kwenye mifumo yake; Review za Security kila baada ya Miezi 3.

So Tigo sio kampuni kubwa as you think
Drive home your point kwamba it is ok TIGO kudukuliwa because it is insigficant as a company?
 
Hii haihalalishi Tigo Kudukuliwa

You mean kuwa na exposure na masuala ya ICT ni kutojua kuwa kudukuliwa ni uzembe? Ndio maana watu wanasoma Cyber Security.
Mimi sijamwelewa kabisa jamaa it is like telling a poor guy not to be concerned if you got robbed! Anyway ndio watz tulivyo kujifanya wajuaji kumbe tunaishi kwa kukariri na ku compare
 
Kila linapotokea janga huwa tunapewa elimu ya kujikinga, katika hilI tufanyeje ili kuokoa Mb's na Dk's zetu?
 
Brother nadhani Huna exposure na Mambo ya ICT Worlwide; Tigo ni Kampuni Ndogo; Kuna Kampuni Kubwa Level ya Dunia Zilidukuliwa
2008 Kuna Kampuni ya Marekani inaitwa Hertland ilidukuliwa, Hii tena ilikuwa inashughulika na Payment System, Kulikuwa na Visa card za kutosha taarifa zilibebwa

Ebay Pia ilidukuliwa mwaka 2013 au 2014 SIna hakika Sana; Ila ilidukuliwa.

Ila Hata Linkedin tu, nayo Ilishadukuliwa, nakumbuka Mwaka 2012, Yahoo pia ilishawahi kudukuliwa hata miaka minne haijapita;

Hizo kampuni nilizokutajia, ni Biggest company ambazo zina High mechanism za Security kwenye mifumo yake; Review za Security kila baada ya Miezi 3.

So Tigo sio kampuni kubwa as you think
InahalalishaTigo kuwa hacked?
 
Kuna siku nilikaa siku Tatu nasubiri network irudi Akiba Cormecial Bank..
Siku Tatu...imagine that..

Niliwahi uliza why kuna bank network ni shida sana nikajibiwa hawataki kuajiri watu wa IT walioiva...na wakiajiri wanawalipa kidogo sana..

Sasa kampuni kama Tigo na voda Tz zinapenda mno cheap labour...
Lazima yawakumbe haya mambo
Worked with tigo once so i knw wht u r talking about
I second this
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom