Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Diamond Platinumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti ya msanii wa Kimarekani 50 Cent. Tovuti hiyo thisis50.com iliandika "Checkout Tanzania awards winner, Diamond Platinumz new video,"Marry You" featuring Ne-Yo"