The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Nilikuwa nahitaji rates zako kwa ajili ya wanafunzi toka Mbagala huku mpaka Saadan national park. Ni wanafunzi sekondari wataonea kwenye Costa. Ni kwenda na kurudi bila kulala.
We are budget sensitive, rates zako ziwe Ni za kuanzia tar. 24/08 to 15/09.
We are budget sensitive, rates zako ziwe Ni za kuanzia tar. 24/08 to 15/09.