Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Tangia alfajiri mpaka muda wa kwenda kulala mtu yupo "busy" ana-"touch-screen"...! Hii hali naamini kabisa inapunguza uwezo wa mtu wa ku-"touch-skin"...!
lakini ni nzuri kwa afya; maana ni ngumu kupata maambukizi kwenye touch screen kuliko touch skin
Ahsante Mama Ushauri...!
Maabukizi yanaletwa na ku-touch skin?