dickson longo JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 232 Reaction score 52 Feb 20, 2013 #1 Wakuu msaada wenu,natumia HTC radar simu ipo vizuri lakini sasa navyopiga au kupigiwa kioo kinakuwa undispray yani kinazima hakitaki kuwaka kabisaa mpaka ninaeongea naye akate simu ndipo kinawaka tena.Tatizo ni nini?msaada wenu.
Wakuu msaada wenu,natumia HTC radar simu ipo vizuri lakini sasa navyopiga au kupigiwa kioo kinakuwa undispray yani kinazima hakitaki kuwaka kabisaa mpaka ninaeongea naye akate simu ndipo kinawaka tena.Tatizo ni nini?msaada wenu.