#COYRCome on you redmen!!!
Bila shaka ni mnazi was manyuuuuSi mtabiri but siwapendi Liverpool
👍👍👍!!Liverpool will win. Mark this comment
#viatu vya tembo
Nitajiita Pembe za Panzi Liverpool akishinda.#viatu vya tembo
Liverpool is a winnerJe mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Nitajiita Pembe za Panzi Liverpool akishinda.




Ntajiita dulah tukishindwa kesho
NdioBingwa or
Ndio
Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?
Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
Haha unaweza kupanga kile kikosi kilichomuua Barcelone, japo ngumu Salah kuanzia benchi.Kloop anawaza amuanzishe nani?
AhsanteHao wazuri walikuwa wapi kuingia fainali?