Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

Je mashetani wa Spurs wanao uwezo wa kuwashambulia Liverpool?

Sitaki kuwa mtabiri Arsenal imenifunza kitu
6
1559463690631.jpeg
1559463985726.jpeg
 
Walistahili kivp? Wakati mda wakat mda wote wamechezewa nusu uwanja
Kuchezewa sio shida,ila mbinu za mpira.jiulize Brazil walitokaje kombe la dunia.chelsea wanafungwaga wanaongoza posses adi 85-15
 
Back
Top Bottom