Noma sana mzazi. Mzee ana maneno hatari




. Ila pamoja na kutukera kwenye game kadhaa zilizopita ukweli ni kwamba ulimwengu unatarajia makubwa mno kutoka kwa Jose. Mwaka mmoja tu tena na kikosi kisicho na balance kama kile analaumiwa kwa kushindwa kuwafunga Liverpool Anfield, Wolves nyumbani kwao, droo na Chelsea iliyosajili dunia nzima darajani!
Hapo anangalia Klopp alipata nini miaka minne ya kwanza tena akiwa na kikosi bora duniani. Angalia Pep msimu wa kwanza alifanya nini pale City akiwa na first eleven mpya.
Jose ni taasisi ya ukocha.