Nipo mbali mkuu, huwa nachungulia kama mgeni. Lakini leo uzalendo umenishinda kama jamaa nilionao wakinistukia basi. Najiexpose, ushindi mzuri bwana. Nipeni hongeera zangu basi!
Kwani wakati wa shida ni upi shosti, hebu nikumbushe kidogo!.hii nyumba wenyeji wanaonekana wakati wa raha tu:coffee:
Kwani wakati wa shida ni upi shosti, hebu nikumbushe kidogo!.
Wakuu nimerudiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nawashukuru wale wote walionitakia mema na kunipa hongera wakati wa ushindi muhimu.
hawa jamaa walivyo na kismati wanaweza kunyanyua kombe hivi hivi.Shedafa karibuuu!...mwaka huu lazima muweke historia. Hamvumi lakini mmo, si ajabu tukawaona kwenye fainali ya Champions League - Wembley!!!
Du, kishakuwa kismati tena!. Mkuu huoni juhudi zetu pale uwanjani?, tunajituma kwa kwenda mbele ila si uongo Mungu akitushikia tukamtoa AC Milan itakuwa tamu kweli kweli. Kuwa watoa wababe wawili wa ITALY si mchezo.hawa jamaa walivyo na kismati wanaweza kunyanyua kombe hivi hivi.
Haya bana!. Unajua, imebidi nijikaze tu kujibu maana yameshaanza malalamiko kuwa hatuonekani mpaka tushinde. Kwa huzuni nimejitokeza.
Mmh!, afadhali hatukukutana. Maana ule ushindi wenu kwa Barca ni nguvu tosha ya kujiamini, ngoja msahau sahau kidogo ndio tukutane ili ukikumbuka mechi iliyopita uniogope ogope kidogo.Usijali ndio mpira huo. Hukuona Wenger alibadilisha kikosi kizima baada ya Barca unafikiri nini? Mchezo unabadilia kabisa ukicheza Europe na mechi za nyumbani. tungekumbana weekend hii lakini tumewaweka kiporo .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeee
heheh mkuu si unajua mambo yenu leo mnaifunga inter goli tatu kesho mnafungwa tatu bila na akina blackpool sasa kama sio kismati ni nini?Du, kishakuwa kismati tena!. Mkuu huoni juhudi zetu pale uwanjani?, tunajituma kwa kwenda mbele ila si uongo Mungu akitushikia tukamtoa AC Milan itakuwa tamu kweli kweli. Kuwa watoa wababe wawili wa ITALY si mchezo.