The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Hivi ile penalti Mkuu haikua halali?Fainali ya UEFA hadi leo nakumbuka Ile penalty ya mchongo waliopewa Liver kiukweli iliniuma sana
Hivi ile penalti Mkuu haikua halali?Fainali ya UEFA hadi leo nakumbuka Ile penalty ya mchongo waliopewa Liver kiukweli iliniuma sana
Hakukuwa na penalty pale mkuu kaangalie tena namna Sadio Mane alivyonyanyua mpira kumgusa Sissoko ila mpira ukagusa usawa wa kwapaHivi ile penalti Mkuu haikua halali?
Shukrani MkuuSpurs safi sana