mmh, kuna watu wangekuwa na hela za kula jamani, tusingepumuwa.
hahahahha maisha haya Lord have mercy upon us.
Halafu unajua kuwa nasubiri ukubal ile tiba
umeshaosha mwiko.
kuna thread inawaruhusu wanaume kutembedha mwiko kwa sharti la kuuosha mara baada ya kusonga ugali.ohoo! Kuoshaje tena jaman?
kuna thread inawaruhusu wanaume kutembedha mwiko kwa sharti la kuuosha mara baada ya kusonga ugali.
sijaiona hiyo. Ipo wapi?
we itafute hapa mmu utaiona
nimeiona. Jiko la kupikia halijapatikana.
hahahhaahaha undelea kutafuta litapatikana tu
mda bado. Leo bata linatafunwa wap?
Unataka ukawaunguze nini, mkuu?HELOW WANA JF
NATAFUTA WAREMBO 2 WA KULA NAO WIKEND HII NITAWAFUATA WALIPO NA NITAWARUDISHA
KIWANJA WANAWEZA KUCHAGUA pia,ALIYE SERIOUS kiss22love@gmail.com or aniprivate sms haraka wikend inakwisha 2meshachelewa.
Gharama zote juu yangu
mifuko imetoboka bata ntakula vipi!!!!!!!!!!!!
Jiran hapo hakuna fundi cherehani?
hali ya hewa baba angu wamerudi makwao kufaidi ndoa.
na wewe faidi ya kwako wakati huu