Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Nimemisi sana supu ya kuku wa kienyeji, nitamu sana aisee!
Mkuu tembelea kijijini, wako wa kutosha unajilia kwa raha zako
ilo swali linatataka jibuMmmmh! hili swali mankachara
thread zako hizi mkuu Pascohuyu ni wa ukwee na ni mkaree!, na na hata kwa macho tuu anaonekana ni ...sana!.