Toto la kichaga

Toto la kichaga

b4eb6ac34fe06cd6033a187b2d13192a.jpg
Kuhusu msambwanda akasome kwA wanyakyusa
 
We acha mkwala wa kusogeza ma-meli yako kwenye rasi yangu.kwa taarifa yako mimi na panki langu ndo official robot. Sasa hiyo ban utaila mwenyewe na mtoto Inna unamkosa hivi hivi unaona
nakuhakikishia Inna sitakuja hkumkoosa hata kama atanisumbua miaka kibao vitu vizuri havitaki haraka, atakuja kunielewa tu,, mzee daby mwenyewe kashakubali kukaa pembeni huyu ndio namuogopa tu kwa sababu anatumia madawa , mimi situnmii ndumba.
ila mtoto inna lazima atanielewa tu.
na sasa hivi naacha utani kwa wadada wengine manake ndio kinachoniharibia kwa inna adi asiniamini.
wewe kaa pembeni
 
Awamu ya 5 hakuna vya bure.kama unamtaka Inna wangu hebu leta hiyo asilimia 18 vat nkuachie upige vyombo.

Back
Top Bottom