TOTO AFRICAN VS YANGA Live

bemg

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
2,799
Reaction score
644
Mechi itaanza muda si mrefu na vijana wa Toto African wanakila sababu ya kufanya vizuri kwenye uwanja wao wa nyumbani na ikiwezekana kuchukua point 3 muhimu kwa ndugu zao Yanga.
Kila la kheri Toto African
 
Thubutu leo ushindi nje nje
 
Haya Ndio matatizo ya Mipira yetu Tanzania sasa hivi Jezi zote mbili si zinaingiliana kuchanganyana ki Macho? wengine wangevua tu Flana au kuvaa Rangi nyengine hata Blue.
 
Haya Ndio matatizo ya Mipira yetu Tanzania sasa hivi Jezi zote mbili si zinaingiliana kuchanganyana ki Macho? wengine wangevua tu Flana au kuvaa Rangi nyengine hata Blue.

Utakuwa unaumwa wewe sio bure, hayo ni macho au vidonda.

Yanga wamevaa KIJANI
Toto wamevaa NJANO
 
Toto Strikers pale Akili finyu bwana ushaona kipa kajaa mchambue ufunge yeye anapiga Dotchi ndomana wengi wanabaki kuwa washabiki wa Yanga na Simba tu.
 
Utakuwa unaumwa wewe sio bure, hayo ni macho au vidonda.

Yanga wamevaa KIJANI
Toto wamevaa NJANO

Sijui Nani ana vidonda vya macho mie au Wewe?

Yanga Kavaa , KIJANI Na NJANO na NYEKUNDU KIFUANI

ToTo wamevaa NJANO na Kijani Mgongoni.
 
Mbuyu Twitte kacheka na nyavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…