Wajameni Chama letu la Jiji la MWANZA LIANELEKEA KUSHUKA DARAJA please toa mchango wako juu ya nini cha kufanya kuisaidia timu letu liisshuke.Na ikinusulika toa mchango wako wa mali na hali ili ishiriki kwa mafanikio ligi kuu ijayo na tufanye usajili wa kufa mtu![/QUOTE
Toto mwaka huu haina namna ya kukwepa kushuka daraja.Tatizo timu ni pweke haina wanamichezo wa kweli wa kuitafutia wadhamini .Nadhani kwa hali ilivyo msimu ujao Mwanza watakuwa wanasikiliza ligi kuu kwenye radio tu na sikuziona timu live pale ccm kirumba zikemenyana na watoto wa Rock city.Pamba nayo imeshindwa kufurukuta