Totenham Hotspurs inafungwaje na vibonde Arsenal ?

Tatizo unajua rede tu hujui mpira na hujui trend ya mpira! Crystal palace inashika mkia EPL hajamfunga mtu yoyote zaidi ya bingwa mtetezi Chelsea do you see that?
 
Bila shaka wewe utakuwa ni lishabiki la Liverpool vibonde wa Tottenham sasa roho imekuuma kuona gunners tume mkandamiza mbabe wako!! Pole sana kila mtu na mbabe wake.

Usisahau hii.

Tottenham 4-1 Liverpool

Arsenal 2-0 Tottenham.

Wewe Ni Kiazi Kweli Kweli!!!! Tokea lini Spurs Akawa Mbabe Wa Liverpool??

Unajua Mara Ya Mwisho Spurs Kumfunga
Liverpool Kabla Ya Msimu Huu ilikuwa Ni Mwaka Gani?

Kupenda Mpira 2017 kusikufanye uwe mropokaji...

Just Shu Up!
 
Naipenda arsenal tangu utoton game saba ndani ya emirates pochettino hajawah kupata ushindi nashangaa mnataka tuyaamshe madude au....... ........
 
Wewe Ni Kiazi Kweli Kweli!!!! Tokea lini Spurs Akawa Mbabe Wa Liverpool??

Unajua Mara Ya Mwisho Spurs Kumfunga
Liverpool Kabla Ya Msimu Huu ilikuwa Ni Mwaka Gani?

Kupenda Mpira 2017 kusikufanye uwe mropokaji...

Just Shu Up!
Taratibu basi mkuu .
 
Ndo utaelewa kuku we unataka ufananishe arsenal na spurs mchukue huyo Sanchez au ozil halafu mpeleke spurs ka atasaini kwanza bado man u
 
Wewe Ni Kiazi Kweli Kweli!!!! Tokea lini Spurs Akawa Mbabe Wa Liverpool??

Unajua Mara Ya Mwisho Spurs Kumfunga
Liverpool Kabla Ya Msimu Huu ilikuwa Ni Mwaka Gani?

Kupenda Mpira 2017 kusikufanye uwe mropokaji...

Just Shu Up!
Povu hilo ss hatuelewi cha Mara ya mwisho tunakumbuka 4
 
Tatizo unajua rede tu hujui mpira na hujui trend ya mpira! Crystal palace inashika mkia EPL hajamfunga mtu yoyote zaidi ya bingwa mtetezi Chelsea do you see that?
Jamaa nafikiri yuko IRONIC hapo. Ni mdau wa Arsenal huyo kama kumbukumbu zangu ziko sawa!
 
Tatizo hapa mnabishana maneno, mpira ni mbinu, Wenger alimzidi mbinu spurs kwa namna zifuatazo
1. Kufanya man marking kwenye kila pemetatu iliyojengwa na spurs , hii ilimfanya spurs ashindwe kufanya mipango yake kwa ufasaha ( ukabaji wa mtu kwa mtu)

2. Kuzuia spurs wasianze mashambulizi kuanzia kwa full back ambao ndio msingi wa mfumo wanaoutumia spurs.

3. Kukaba kuanzia juu , nikimaanisha timu inayotumia mfumo kama wa spurs ukimkaba kuanzia juu hawezi kufanya build up.

Mwisho mm sio mshabiki wa arsenane ila nimpongeze Wenger kwa ushindi.
 
Kamanda usijali,ukiangalia magoli yote sio ya halali.Kuanzia ile faulo hadi la kuotea.Hata kocha wa Tot alisema
 
Usitafte kujifariji hapa tatzo ni mkeka, nyie arsenal nanyi mmekaa tu baadala muende PM mkayajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…