Totally bored, application inaelekea kunishinda

matc

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
260
Reaction score
45
Totally bored, application inaelekea kunishinda.
Nilifanya application mara ya kwanza lkn sikufanikiwa, sasa nilitaka kulog in inatakiwa username na password.

Password nmeisahau na ilitumwa km spam ktk email, nikienda kwenye spam msgs haipo kwn ishakuwa deleted automatically kwani spam msgs kumbe zinakaa siku 30 tu, kwa kweli nimekosa jibu.

Mwenye msaada pls kabla dirisha la NACTE halijafungwa.
 
Nenda forgot password jaza utakavyoulizwa then uta create new passwords.
 
kama upo dar nacte utapata msaada zaidi na kama haupo dar ulizia office zao zilipo kwa mkoa uliopo wewe ila hiyo option ya forget paswood kwenye system yao haina msaada maana mimi nilijaribu ikashindaikan
 
Niko nje ya Dar
 
nilivyosoma nikahisi kuna application inaitwa "Totally bored " ndio imekushinda??

hao NACTE wana apply kupitia TCU? If yes nitafute PM nikuunganishe na my super friend alieko huko akusaidie
 
Totally bored, application inaelekea kunishinda.
Nilifanya application mara ya kwanza lkn sikufanikiwa, sasa nilitaka kulog in inatakiwa username na password.

Password nmeisahau na ilitumwa km spam ktk email, nikienda kwenye spam msgs haipo kwn ishakuwa deleted automatically kwani spam msgs kumbe zinakaa siku 30 tu, kwa kweli nimekosa jibu.

Mwenye msaada pls kabla dirisha la NACTE halijafungwa.
Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Mkuu Jaribu Kucreate Simple Posword Ambazo Ni Vigumu Kusahaulika.
Mimi Binafsi Natumia Surname Yangu Kuwa Ndiyo Pasword Yangu, Unafikiria Nitaisahau??
 
Si kweli.

Mfumo wa NACTE ndio unatoa password pindi ukjisajiri.

Username (form four index number) na password hutumwa katika email na kwenye namba ya simu ulioisajiri.

Muombaji kamwe hajipangii password ya kutumia.

Mfano: Username: S000/0664/2015 Password: byZWNR39

Hii password ndio alipaswa aitunze.
 
Heaven on Earth post: 17098796 said:
nilivyosoma nikahisi kuna application inaitwa "Totally bored " ndio imekushinda??

hao NACTE wana apply kupitia TCU? If yes nitafute PM nikuunganishe na my super friend alieko huko akusaidie
Hahaha! Mkuu eti NACTE wana-apply kupitia TCU?
Hizo ni Commission mbili tofauti. Moja inashughulikia kuingia vyuo vya ufundi nyingine kuingia Shahada. Japo zote zinafanya kazi moja ya kudahili wanafunzi katika vyuo mbali mbali.

Hongera kwa nia yako njema ya kutaka kumsaidia.

Le super friend.... Le Tumbo Kubwaaz nn kama LeMnyamaz?
 
nina password aina moja tu ambayo natumia mitandao yote tangu nianze kuingia ulimwengu wa internet isipokuwa ile inayohusu mambo ya kifedha bank au tpesa mpesa nk ndo huwa naibdilisha kila baada miezi 6 naenda nazo kinyumenyume kati mwisho au mwisho mwanzo so ni vigumu kusahau na sijawai kusahau password hata siku moja

pole sana
 
Najua basi. ndio maana nikaanza kwa kuuliza hizo admission.

hafananii hata na Lemutuz.. nimetumia maneno yake tu kum refer Le super friend wangu
 
Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Mkuu Jaribu Kucreate Simple Posword Ambazo Ni Vigumu Kusahaulika.
Mimi Binafsi Natumia Surname Yangu Kuwa Ndiyo Pasword Yangu, Unafikiria Nitaisahau??
Wewe acha matani kwenye suala kama hili hizo pasward hutumwa na nacte cjui wewe ulicreat ajeee eg suceessfull regestrated from nacte your username is S00758/001000/2077 your pasward is WAcHafU9
 
nina password aina moja tu ambayo natumia mitandao yote tangu nianze kuingia ulimwengu wa internet isipokuwa ile inayohusu mambo ya kifedha bank au tpesa mpesa nk ndo huwa naibdilisha kila baada miezi 6 naenda nazo kinyumenyume kati mwisho au mwisho mwanzo so ni vigumu kusahau na sijawai kusahau password hata siku moja

pole sana
Hii password inakua created na wao wenyew NACTE
 
Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Mkuu Jaribu Kucreate Simple Posword Ambazo Ni Vigumu Kusahaulika.
Mimi Binafsi Natumia Surname Yangu Kuwa Ndiyo Pasword Yangu, Unafikiria Nitaisahau??
Sio kosa lako
 
Si kweli.

Mfumo wa NACTE ndio unatoa password pindi ukjisajiri.

Username (form four index number) na password hutumwa katika email na kwenye namba ya simu ulioisajiri.

Muombaji kamwe hajipangii password ya kutumia.

Mfano: Username: S000/0664/2015 Password: byZWNR39

Hii password ndio alipaswa aitunze.
Yap! Mkuu Problem ni kwamba sijawahi Kuapply Nacte, Kwahiyo Nilifikiri Kule Nacte Pia Unacreate Pasword Kama Unavyocreate TCU na HESLB.
Thnkx kwa Kunifundisha Nisilolijua.
 
Daaahh ukishatumiwa hizo password na username nini kinafuata hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom