TOT ya Capten Komba na Wapinzani ndani ya CCM

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Kuna tetesi zimetapakaa ndani ya CCM especially baada ya Amosi Makala, Mweka Hazina wa CCM kukamata cheo hicho kwamba, hawaoni haja tena ya kumpa tena DEAL Komba wakati kuna bendi ya Vijana Jazz iliyovuma miaka ya Zamani na sasa imefulia kiaina!

Katika maazimisho ya miaka 10 ya kifo cha baba wa Taifa, tulimtegemea Capt Komba na kundi la TOT wawe Musoma, lakini kauzibe hasa kutoka kwa Makala kameendelea. hata hivyo insemekana mkuu wa Kaya ilibidi ampigie Komba mwenyewe aende akatumbuize japo kwa CD. Nafikiri mlioangalia mliona jinsi Gwiji ili lilivyoburudisha kwa wimbo wake ule aloimba kipindi kile na Nnauye!

Kundi la vijana wamedhamilia kumwangusha mzee mzima wakidai kashatafuna sana pesa ya chama na sasa ni zamu ya Vijana Jazz, bendi inayomilikiwa na UVCCM.

Mwenye data zaidi amwage hapa jamvini.
 
Wadau, ina maana hizi ni rumours ama thread haina maana?

...who cares? Tuna masuala nyeti at stake kwa taifa hili kuliko kuwaza Komba sijui na nani wanatumbuiza wapi! kwangu wote ni watu wa propaganda ambazo hazina tija kwa taifa hili. Tatizo lenu ni namna gani mnagawana mapato ya wizi, mnagombania nyara mlizoteka kwa waTz. Ipo siku...!
 
waache wale na hao vijana huyu Komba kama kula ameshakula sana hela za chama
 
Back
Top Bottom