Toshiba webcam/software drivers msaada

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
448
Reaction score
79
Computer yangu ni toshiba na natumia Window 7 kuna wakati nilibadili window kuanzia hapo Camera haifanyi kazi nashindwa nitype nn ili nigoogle kwa ajili ya kupata drivers/ software kwa ajili ya camera tafadhalini sana naomba msaada wenu
 
Toshiba ina model zaidi ya 100. Ni sawa kusema unatafuta tairi ya toyota. Utaulizwa toyota gani.... teh teh teh teh

kwa hiyo kwanza tambua model ya toshiba yako. Ukishatambua model kama hiyo webcam ni integrated tambua aina ya hardware zake. unaweza kutambua kwa kwena kwenye computer management then device manager.

Kama unayo model nenda kwenye site ya toshiba kama alivyokushauri mdau hapo juu ucheki kama wanazo au kama ni extenal web cam nenda kwenye site wa watengenzaji wa hiyo web camera.

Sometime watengezaji wa laptop hawana drivers za windows 7 sababu kompyuta haikuwa designed kwa OS hiyo. So dawa hapo ni ku google tovuti za wetengenzaji wa webcam na site kama CNET
 
Asanteni kwa msaada naona imekubali...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…