Thanx much kaka naanza kupata mwanga, nimejaribu kutafuta ilo folder cjaliona kwenye c. But nimerun tena zile zip but this time nimedirect zikae kwenye desktop sio kwenye C. Ilipomaliza kurun zimekuja file kibao kwenye desktop na moja ni file la kurun. So nimerun lile file ikaja wizad ambayo bfr ilikuwa haiji kabisa. Nimefata step zote mpaka nimefinish but nikirestart NO ANY CHANGES help pls this is my number 0688 282403 ring me then i will call back
HP lets finish it here. It might hel others ikiwa kwenye record za maandishi hapa JF .... ukikwama zaidi tutawasiliana but so far naona kazi iliyobaki ni ndogo.......
NO ANY CHANGES
Kwanza huoni changes sababu tulikuwa tunabahtisha . U re not certain or sure kujua ni model gani ya VGA card iko kwenye mashine yako. hiyo ya kwanza haijaleta changes sababu kama iikuwa ni driver ya ATI means kompyuta yako ina VGA ya Intel na kama ilikuwa ni ya Intel means kompyuta yako ina VGA ya ATI.
So endelea kujaribu kwa kufanya the same kwa kuisntll another file. Depending on wich one u tried first now go and try the second .
One of them should work. ingawa kwenye site ya toshiba drivers ziko tatu kati ya INTEL na ATI one should work. Hope umenielewa
Unaweza vile vile kujribu kufanya manually
Hapo kwenye desktop tafuta folder lintwa
packages. Ndani yake una folder lintwa
drivers. ndani yake kuna folder la
display na ndani kuna folder mawili mjawapo ni
W7_INF So driver mara nyingi zinatafuta file lenye extension ya
.inf. kwa windows 32 driver hapa itakiwa ni
CW112983.inf
So how?
1.
Nenda
Start and right-click on
Computers and chagua
Manage. This will bring the
Computer Management window, now on the left sidebar select
Device Manager as shown in the screenshot
2.
Sasa , chagua the device tunayodiili nayo. kwa issue yako ni Display . Chagua
Display Adapters and
right click on your card's name(In my case it is Nvidia Geforce 9600GT. Hapa ndipo nilikuwa nakuuliza VGA card yako ni aina gani . Jibu utalipata hapa ni ATI au Intel na litapunguza bahatsha bahatisha ) and finally click
Update Driver Software as shown in the screenshot below.
3.
Ukichagua Update driver italeta kidirisha kama inavyooshe hapa chini
4.
Una option mbili. chagua
Browse my computer for driver software.. Then utaona kidirish kingne kama picha chini invyoonyesha
Bofya Browse na tafuta path lilipo lile file la
. inf ( destop/packages/drivers/Display/w7_inf/CW112983.inf .Then bofya next. Hapo utauwa umesimia driver manually
NB.