yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 May 18, 2015 #1 .... reproduction Attachments 1431900255575.jpg 9.9 KB · Views: 549
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,784 May 18, 2015 #2 Hii topic ilikua ikisisimua sana vibinti dasarani kipindi icho niko shule - 1959
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 May 18, 2015 Thread starter #3 Ukisoma kwa mifano kama hivi sio rahisi kusahau
All TRUTH JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 5,452 Reaction score 2,575 May 18, 2015 #4 Kweli hiyo topic ilikuwa tamu sana
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,386 May 18, 2015 #5 yahoo said: .... reproduction Click to expand... Dah, ningefundishwa na huyu naona ningeambulia ziro tu. Jamani sayansi na technologia ina raha yake.
yahoo said: .... reproduction Click to expand... Dah, ningefundishwa na huyu naona ningeambulia ziro tu. Jamani sayansi na technologia ina raha yake.
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 May 18, 2015 #6 BansenBurner said: Hii topic ilikua ikisisimua sana vibinti dasarani kipindi icho niko shule - 1959 Click to expand... Mmmmh....utakuwa ulisoma burundi wewe...
BansenBurner said: Hii topic ilikua ikisisimua sana vibinti dasarani kipindi icho niko shule - 1959 Click to expand... Mmmmh....utakuwa ulisoma burundi wewe...
N ngajone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 531 Reaction score 300 May 18, 2015 #7 Siku hizi haya matiti yamepungua thamani yanaoneshwa hovyo hovyo kuliko enzi zile tulizo zaliwa sisi
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 May 18, 2015 Thread starter #8 ngajone said: Siku hizi haya matiti yamepungua thamani yanaoneshwa hovyo hovyo kuliko enzi zile tulizo zaliwa sisi Click to expand... Acha uongo zamani kwa sisi waafrika maziwa yalikuwa hayana thamani,siku hizi dada zetu wanaiga wazungu kwa kuyafanya eti nayo ni sehemu za siri...kuna wimbo mmoja wa chakachaka wanawke wanacheza maziwa njenje wachezeshe sasa hivi uone
ngajone said: Siku hizi haya matiti yamepungua thamani yanaoneshwa hovyo hovyo kuliko enzi zile tulizo zaliwa sisi Click to expand... Acha uongo zamani kwa sisi waafrika maziwa yalikuwa hayana thamani,siku hizi dada zetu wanaiga wazungu kwa kuyafanya eti nayo ni sehemu za siri...kuna wimbo mmoja wa chakachaka wanawke wanacheza maziwa njenje wachezeshe sasa hivi uone
N ngajone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 531 Reaction score 300 May 18, 2015 #9 Kibongo bongo je ilikuaje?
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 May 18, 2015 Thread starter #10 ngajone said: Kibongo bongo je ilikuaje? Click to expand... Mimi nazungumzia bongo,na utamaduni wa bongo ni wa kiafrika,hatupishani sana na nchi zingine za kiafrika
ngajone said: Kibongo bongo je ilikuaje? Click to expand... Mimi nazungumzia bongo,na utamaduni wa bongo ni wa kiafrika,hatupishani sana na nchi zingine za kiafrika