Topic mpya, karibuni!

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Sina hamu na majukwaa mengine, lakini kila nikipita Chit-Chat nakuta topic zile zile.
Nimewaletea hii 'brand new', ndio kwanza nimeifungua kwa box, na waranty card inayo.
Karibuni!
 
umeshaichana kwenye box?

Mie huwa sitaki used, napenda new tu.
 
umeshaichana kwenye box?

Mie huwa sitaki used, napenda new tu.

Hii ndio kwanza nimeitoa kwenye box, hata manailoni sijamaliza kutoa.
Utajienyoije?
 
Sina hamu na majukwaa mengine, lakini kila nikipita Chit-Chat nakuta topic zile zile.
Nimewaletea hii 'brand new', ndio kwanza nimeifungua kwa box, na waranty card inayo.
Karibuni!

Kwa hiyo huu uzi ni mang'anyu kabisa toka kwa mama?
 
Topic hyo ni ya somo gan? Au ndo lile somo jipya TEHAMA?
 
Kwa hiyo huu uzi ni mang'anyu kabisa toka kwa mama?

Kitu mmwaah!
Yani kama ni gari ingekuwa na milleage ya 2.8 Km, ile ya kutoka bandarini mpaka yadi Ilala Bungoni...
 
Mkuu sorry kama nitakukwaza. I'm just curious to know how to pronounce your name.

Kama we ni mdada ni-PM, ila kama ni mkaka thibitisha afu nikupe jibu lako humu humu mu-thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…