The Dreamer JF-Expert Member Joined Feb 2, 2009 Posts 1,282 Reaction score 21 Dec 23, 2010 #1 Katika pitapita zangu kwenye mtandao ambapo nilikuwa najaribu kuelewa namna ya kuishi ki-ethics nimekumbana na list ya kampuni kumi ambazo ni unethical! Sijui kama TZ hatuna unethical companies au unethical persons list Action For Our Planet
Katika pitapita zangu kwenye mtandao ambapo nilikuwa najaribu kuelewa namna ya kuishi ki-ethics nimekumbana na list ya kampuni kumi ambazo ni unethical! Sijui kama TZ hatuna unethical companies au unethical persons list Action For Our Planet