Top universities in Tanzania 2018

Labda kama kigezo ni majengo sawa lakini ukizungumzia teaching staff,research,ubora wa elimu itolewayo na competence ya graduate,sua is is very far to udom
Research zipi zinafanywa na sua kama sio kuiba Mawazo na proposal za wanafunzi wanaohitimu hapo chuoni.. Kuna jamaa kibao wameibiwa Mawazo yao na hao maprofesa uchwara na kwenda kuchota hela kutoka nchi wahisani. Usitake tumwage karanga hapa
 
Hivi CBE na IFM ni vinini maana nimejikuta natoa mimacho hata sivioni
 
hivi hakuna mbabe zaidi ya UDSM
Wanaangalia sabab nyingi
Mfano idadi ya maprofesa waliopo chuo husika

Wahitimu wanalisaidiaje Taifa kwenye maisha halisi mfano km kina Tundu lissu wanavyipigania haki bungeni

Wahitimu wa natokea kwenye mashirika makubwa mfn world Bank

Sasa vyuo Ving vya private haviwez kumiliki maprofesa zaidi ya kumi unakuta vingi Ni watano au Sita ila vyuo vya serikali maprofesa wa kumwaga
 
Fake hii
Afu OUT haipo kabisa
Mtu yuko jikoni anapika dagaa anajiorodheshea vyuo atakavyo
Acheni masihala jamani
 
*MPYA: LIST YA VYUO BORA 2018 IMETOKA(BEST UNIVERSITIES)*

*ORODHA MPYA YA VYUO BORA AFRICA, VYUO BORA TANZANIA NA VYUO BORA DUNIANI HII HAPA*

[emoji820] *UDSM IMESHUKA AFRICA KULINGANISHA NA MWAKA JANA*

[emoji820] *UDOM IMEPANDA ZAIDI KWA TANZANIA*

*LIST YA VYUO 200 BORA AFRICA 2018 HII HAPA[emoji288]*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Top 200 BEST Universities in Africa 2018 African University Ranking|ORODHA YA VYUO BORA AFRICA 2018


*LIST YA VYUO 30 BORA TANZANIA 2018 HII HAPA*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Best Universities in Tanzania 2018 Tanzanian University Ranking| ORODHA YA VYUO BORA TANZANIA 2018

*LIST YA VYUO 200 BORA DUNIANI 2018 HII HAPA[emoji290]*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Top 200 Universities in the World 2018 World University Ranking

*TAFADHALI,UNAOMBWA KUSHEA TAARIFA HII MPYA KWA WADAU WOTE WA ELIMU*
 
anaepinga alete source yake.
 
Mipango gani? mipango sio matumizi
Hivi mipango nacho ni University? Hii nchi imefanya siasa kila sehemu, sasa unakuta tuvyuo twingi tunajiita universities. Dawa ni kuRank namna hii ili watu wajitambue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…