Top teni (10) ya watu maskini Tanzania.

Top teni (10) ya watu maskini Tanzania.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,347
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania.

Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania kwa kuwataja kwa majina yao.

Hivyo, mwenye takwimu za watu maskini nchini anisaidie.

Weka chanzo cha hizo takwimu.
 
1.'Mnyonge' 2.'Mkulima' 3.Mtoto wa mkulima 4..... 5......
 
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania.

Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania kwa kuwataja kwa majina yao.

Hivyo, mwenye takwimu za watu maskini nchini anisaidie.

Weka chanzo cha hizo takwimu.
1:Zero iQ
2:Fundi bishoo
3:mbao za mawe
3:Mzanaki nyakiegi
4:Nyani ngabu.
5_____

Watajazia wengine mkuuu
 
Wakuu kama ilivyo kawaida, Forbes wamekuwa wakitoa takwimu za watu matajiri nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania.

Lakini Forbes hao sijiwahi sikia wanatoa takwimu za watu maskini kabisa Tanzania kwa kuwataja kwa majina yao.

Hivyo, mwenye takwimu za watu maskini nchini anisaidie.

Weka chanzo cha hizo takwimu.

Naomba katika hiyo takwimu ya Watanzania ' Masikini / Makapuku / Hohe Hahe / Apeche Alolo ' GENTAMYCINE niwe namba 1.
 
Huwezi kupata takwimu ya mtu masikini ila unaweza kupata tabaka la watu masikini na wanapimwa kwa vigezo mbalimbali mfano

1.wasioweza kupata hata mlo mmoja kwa siku
2.wasio na makazi na malazi
3.walio nyuma zaidi kuendana na maendeleo ya teknolojia
4.wasio na uwezo wa kupambana na majanga mbalimbali mfano matetemeko ya ardhi, mafuriko n.k.
5.wasio na huduma muhimu kama maji safi na salama, choo, umeme, huduma za afya n.k.
6.wasio na vyanzo vyovyote vya kuweza kuingiza kipato (tegemezi) hapa inawahusisha ombaomba
7.Baadhi ya makundi maalumu mfano watoto wa mitaani, malaya wanaojiuza n.k.

Zipo sababu nyingi ambao hutumika kupima umasikini na hutofautiana kutoka eneo na eneo au mtu na mtu kiasi kwamba sio rahisi kupata mtu specific kuwa ni masikini au top 10 ya watu masikini...Vipimo huwa vinatumika kwa ngazi ya jamii na Nchi.
 
Utajiri na umasikini hupimwa kutokana na vigezo vya jamii/watu husika.
 
1.Fadhili
2.James
3.Hussein
4.Meshak
5.Mawazo
6.Tabu
7.Amina
8.Musa
9.Nyanje
10.Venance
......na wote hao sijui wanatokea wapi,ila ni maskini wa kutupwa nchi nzima.
 
Matonya hakuwa masikini wa mwisho, matonya na kazi yake ilikuwa ni kuomba kuomba na alikuwa ameajiri mtu wa wa kumtembeza kuomba
 
Naomba katika hiyo takwimu ya Watanzania ' Masikini / Makapuku / Hohe Hahe / Apeche Alolo ' GENTAMYCINE niwe namba 1.
Tawile mkuu na kukulia ikulu ya museveni mkuu na wewe unajiita apeche alololo!, na mimi niliokulia Tandale kwa mfuga mbwa baba yangu akiwa mzee Juma Firigisizapaka si nitakuwa kwenye list ya watu ambao maisha yamewafirimba zaidi sasa..
 
Back
Top Bottom