Top ten people in the world | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top ten people in the world

Discussion in 'International Forum' started by KiuyaJibu, Mar 12, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  The world has become a wealth wasteland.

  Like the rest of us, the richest people in the world have endured a financial disaster over the past year. Today there are 793 people on our list of the world's billionaires, a 30% decline from a year ago.

  Of the 1,125 billionaires who made last year's ranking, 373 fell off the list -- 355 saw declining fortunes, and 18 died. There are 38 newcomers plus three moguls who returned to the list after regaining their 10-figure fortunes. It is the first time since 2003 that the world has had a net loss in the number of billionaires.
  Checkout the attachment herein
   

  Attached Files:

 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jee, hawa wa kwetu waliozuka baada ya EPA, BoT Twin Towers, Deep Green, Richmond etc -- wamo kwenye hiyo orodha? Nauliza hivi kwa sababu wanatutambia sana Watanzania na kutuvuruga -- pamoja na serikali yetu dhaifu!
   
 3. f

  freddywm Member

  #3
  Mar 12, 2009
  Joined: Jun 13, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Zak, for sure these EPA guys wont be there, hivi ni vijesent when you talk of billionaires
   
 4. A

  Audax JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa hata moja ya nane ya hela walizonazo mabilionea hawana mkubwa,ni maskini saana wakijilinganisha na hao matajiri. Lakini kwa maisha ya kitanzania wao ni mabilionea!!
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Utajiri wa wenzetu hao sio traceable. Ukimwambia huyo tajiri wa kibongo amepataje hizo hela(acha wezi wa epa) utasikia majibu ya ajabu yasiyo na historia yo yote. Huwezi kuwa bilionea (hasa dunia ya leo) bila kuwa na background ya kueleweka ya biashara zako/zenu/zetu.

  Ukifuatilia sana ktk mitandao utaona kila mwaka kuna mabadiliko ya nafasi za matajiri,huyu kapanda au kadondoka nafasi kadhaa kwa sababu shughuli zao zinaweza kuwa audited.

  Hivi wanaotaka kuwa mabilionea kwa kuuza kucha za albino wanaweza kuingia ktk top ten hii?
   
 6. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Mkuu nadhani hao uliowataja wewe hata kwenye TOP 100 hamna hata mmoja...Kwanza wakisema TANZANIA watokea wenye hela katika DUNIA na wanatakiwa 20 hamna hata mmoja atakaye toka.........
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  these are the same capitalists-blood sucking -of- the ploretariats, whom the kenyan born author maestro Ngugi wa Thion'go,is talking about in his famous novel, tittled "devil on the cross" now they are paying for the enjoyment of their long time suckings, just forget about these EPA alleged thieves who do not even know how to steal.........
   
Loading...