TOP TEN mbona huu wimbo haupo?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
22,355
Points
2,000

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
22,355 2,000
Najua ili wimbo uingie top ten katika vituo mbalimbali vya redio au tv hapa nchini lazima uwe na ujumbe mzuri, ala nzuri, na hata mpangilio.

Kwa takribani mwaka mmoja sasa toka huu wimbo utoke sijawahi kusikia redio yeyote ile inauingiza katika top ten na ni wimbo ambao kiukweli una ujumbe mzuri na ujumbe wa moja kwa moja kwa zama hzi.

HIVI KWANINI WIMBO WA "CCM MBELE KWA MBELE" haupo kwenye top ten wakati kitaani unafanya vizuri?.

Mnasubiri video yake au?!!!!!!! Acheni ubaguzi bhana.
 

Forum statistics

Threads 1,379,011
Members 525,255
Posts 33,731,434
Top