Top Ten footballers Tanzania ever produced

Wee FMES ukumbi wako ni siasa huku kwenye sport upo kweli? Inasemekana wewe ni Liverfool hahahahaha pole sana mwaka huuu! LOL
 
Young Africans FC is a Tanzanian football club based in Dar Es Salaam. Their home games are played at Benjamin Mkapa National Stadium. Young Africans (or Yanga as it is locally known) is one of the two biggest teams in Tanzanian football, their archrivals being Simba SC. Both teams are based in Dar Es Salaam. The team's colors are yellow and green. Yanga has won slightly more Tanzanian Premier League titles than Simba SC. However, Simba has fared much better on the continental stage than their archrivals.

[edit] Achievements

1968, 1969, 1970, 1971, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2003, 2005, 2006, 2008, 2009
1975, 1994, 1999, 2000
1975, 1993, 1999 [edit] Performance in CAF Competitions

1997 - Preliminary Round1998 - Group Stage 2001 - Second Round2006 - Preliminary Round 2007 - Second Round2009 - First Round
1969: Quarter-Final1970: Quarter-Final1971: withdrew in Second Round1972: First Round 1973: First Round1975: Second Round1982: Second Round1984: First Round 1988: First Round1992: First Round1996: Preliminary Round
2007 - Intermediate Round2008 - Second Round
1995 - Quarter-Final2000 - First Round
1994 - First Round1999 - First Round
- Mkulu Nzoka, haya kula dataz zaidi hapa, unaona Yanga walivyoweza kushika ubingwa wa Afrika Mashariki mara tatu enzi hizo kama tulivyokuambia, vipi wachezaji wa siku hizi wameshinda mara ngapi mkuu? Si umesema mwenyewe namba zinajisema zenyewe, nilikuambia mkuu tulikuwepo sio tu ya kutafuta google!

Respect.

FMEs!
 
Wee FMES ukumbi wako ni siasa huku kwenye sport upo kweli? Inasemekana wewe ni Liverfool hahahahaha pole sana mwaka huuu! LOL

- Mkuu si unajua zamani nilikuwa ninaupiga sana mpira pale Jangwani na timu ya mabaharia ya MV. Stella Maris, siku hizi inaitwa Manyema Sports Club longtime ago kabla sijapanda meli na kuwa msailor, halafu unajua siku zote tulikuwa kiboko ya timu zote kubwa pale Jangwani na siku zote hawa Yanga na Simba kazi yao ilikuwa kutupora wachezaji wetu, wale dogos karibu wote wa watoto wa Yanga na Simba, walikuwa wanatokea kwetu matokeo yake tukawa hatuwezi kucheza ligi kubwa, lakini siku zote tulikuwa tunaungana na Nungu FC, au Cosmopolitan, tulikuwa tukiwatesa sana kwenye ligi ya wilaya ya Ilala, aahggggrr enzi za kuku kwa mrija bongo hizo mkuu!

- Halafu bongo enzi hizo starehe ilikuwa mpira, na muziki wa Kamanyola, Sikinde, Msondo Afya, Boma Liwanza, na Baba Gaston. Enzi hizo mkuu unajua pale Tazara Station palikuwa ni Club ya muziki ikimilikiwa na Mzee Batengas RIP, baada ya kugeuzwa station ya treni tukahamia "White House" kwenye Kamanyola la kina Chinyama Chiyanza na Kikumbi Mwanza Mpango 'Kiki', Wabangoi, Mbuya Makonga "Adios", Banza Mchafu, Mzee Mwema Mudjanga "Mzee Chekeencha", Kossongo Mpinda, Tabia Mwanjelwa, na Ilunga Lubaba.

- Mkulu wangu Masa, usishangae mkuu huku kwenye michezo nako tupo pia, ila you are right, Liverpool noma sana, yaani sasa ninatafuta timu nyingine hao nimewashitukia I mean sasa wanafungwa hata timu kama za Mtibwa Sugar yaani simo tena hiyo timu, najaribu kutafuta nyingine mkuu, Bwa! ha! ha!

Respect.

FMEs!
 
Simba SC is a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania"]Tanzanian[/ame] football club based in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Dar_es_Salaam"]Dar es Salaam[/ame]. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Young_Africans"]Young Africans[/ame]. The club had several names during its history, when it was founded in 1936 it was called Queens, then changed to Eagles, Dar Sunderland and later, in 1971 changed to its actual name, Simba (that means Lions in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Swahili"]Swahili[/ame]).
Simba is the biggest also the most titled club in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania"]Tanzania[/ame].
Contents

[hide]

[edit] Achievements

The highest level of success that Simba SC achieved was getting to the final of the CAF Cup in 1993 where they lost to Stella Abidjan of Ivory Coast. It was the highest achievement on continental competitions reached by any Tanzanian team. One of the most memorable years for the club was 2003 when it knocked off the then reigning champions Egyptian giants Zamalek on its way to qualify for the group stages of the CAF Champions League. In the first round of that year's competition, Simba SC eliminated Santos of South Africa.

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzanian_Premier_League"]Tanzanian Premier League[/ame]: 16
    • 1965, 1966 (as Sunderland)
    • 1972, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2004

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nyerere_Cup"]Tanzanian Cup[/ame]: 3
    • 1984, 1995, 2000

  • Tanzanian Tusker Cup: 4
    • 2001, 2002, 2003, 2005
  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Cup"]CAF Cup[/ame]:
Finalist : 1993

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CECAFA_Clubs_Cup"]CECAFA Clubs Cup[/ame]: 5
    • 1974, 1991, 1992, 1995, 1996,
[edit] Performance in CAF competitions

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League"]CAF Champions League[/ame]:
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League_2002"]2002[/ame] - First Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League_2003"]2003[/ame] - Group Stage[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League_2004"]2004[/ame] - First Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League_2005"]2005[/ame] - First Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Champions_League_2008"]2008[/ame] - First Round
  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs"]African Cup of Champions Clubs[/ame]: 8 appearances
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1974"]1974[/ame]: Semi-Final[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1976"]1976[/ame]: Second Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1977"]1977[/ame]: Second Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1978"]1978[/ame]: Second Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1979"]1979[/ame]: Second Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1980"]1980[/ame]: Second Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1981"]1981[/ame]: First Round[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/African_Cup_of_Champions_Clubs_1995"]1995[/ame]: Second Round
  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Confederation_Cup"]CAF Confederation Cup[/ame]: 1 appearance
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Confederation_Cup_2007"]2007[/ame] - Preliminary Round
  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/CAF_Cup"]CAF Cup[/ame]: 2 appearances
1993 - Finalist1997 - First Round
1985 - Second Round1996 - Second Round2001 - Second Round
 
Mkuu,
Namba zinakusuta. Kwanza, Gossage cup ilikuwa ni nchi Kenya, Uganda, Tanganyika and Zanzibar. Huwezi ukatamba we mkali wa mpira kwa kushinda kakombe ka timu 4. Waliotawala ni Uganda hands down (SO TANZANIA HAS NEVER EVER BEEN DOMINANT.....YOU MEASURE DOMINANCE BY TROPHIES, and obviously Tanzania Fail miserably). CECAFA ikaongeza timu zaidi, Old skool yako imeshinda 1974, New school wameshinda 1994. Yaani 70s and 80s mmeshinda moja, 90s and 00s tumeshinda moja (Ngoma droo). Wachezaji uliowasifia ni wa 70s na 80s (on a national team level). Mimi naowajua nikawaona wenyewe ni wa late 80s and 90s, decade hii nawajua wachache.

Discussiion yangu imeeanza hivi; Nimeona listi ya wachezaji wa late 80s na early 90s wanasifiwa, nika-argue, hawana standard ya kuitwa ni wakali. Watu wengine wakaunganisha na list ya early 80s na 70s, ndio nikasema wait a minute......if i know the players they list as greats from the late 80s or 90s (while I know they are not), then there must be something wrong with the players in the 70s etc. Wewe ndio ukaja na argument ya vikombe walivyoshinda, sijui kucheza Ulaya. Data za Gossage Cup na CECAFA zinakusuta!! Kina Dilunga, Sembuli, Manara hawajacheza 90s lol. Manaras played at small teams, and they didnt leave a legacy, zaidi ya kuwa wachezaji wa kwanza Tanzania kucheza Ulaya!!

Now, umeenda ukavuta data za Club championships, nazo ndio zinazidi kukuadhiri!!
Simba wameshinda once CECAFA in the 70s.........lakini wameshinda 4 times in the 90s!! LOL.
Yanga wameshinda once in the 70s, na 2 times in the 90s.......

Now, tell me, who is fudging the data? Mkuu sio politics hii. Whether napata data google au wewe kuwepo kipindi cha 70s n 80s, makes no difference whatsoever, Data ni Data!! Nilikuwepos late 80s, 90s and now......and the data shows 90s have performed better!!

Tanzania has always been mediocre!! Jamani, watueni mizigo vijana wa siku hizi, mungu akijalia watafika mbali na kuperform vizuri zaidi. Na muache nyimbo zenu eti zamani ndo tulikuwa tunajua kucheza mpira. Lets stop celebrating MEDIOCRITY, cos thats all we are good at.

Atleast ungesema Athletics ningekubali; Nyambuis, Filbert Bayi's etc.
If we now can have Hasheem in the NBA, we will soon have footballers in the Premiership and other top European Leagues. Talent zipo.
 
jamani, nipe habari za KASSIM MANARA. Huyu bwana bado yupo hai? Mbona Kimya namna hii. Hivi nikweli kuwa alifungwa jela huko majuu kwa dawa za kulewa na akafia jela?
My Submission.
 
- Mkuu naona una something more than hii debate ya mpira, kama ni ushindi basi ngoja nikupe, maana sielewi unachozidi kubisha, unabisha nini?

- Swali la Mada ni nani the best ever katika soccer la Tanzania?

1. Jibu langu ni kwamba Maulidi Dilunga na Mahadhi, wanashika namba moja kwa sababu wao ndio wachezaji wa kwanza Tanzania kuchaguliwa kushiriki kwenye timu ya Africa, na since then hajatokea mwingine tena nchini kuweza kuchagulwia timu ya Africa.

2. Futhermore, nikasema wachezaji wa zamani walikuwa better kuliko wa sasa kwa sababu, wao waliweza kushinda vikombe vingi vya mashindano ya East Africa, kwenye Clubs na National kuliko wa sasa, Yanga wameshinda mara tatu, Simba wameshinda mara tano, sasa je wachezaji wa sasa wameshinda nini? sioni ukitoa majibu!

3. Then again, nikasema National ya zamani ilishinda mara nyingi kombe la Challenge na hata kufikia finali ya Africa kule Lagos, lakini wa sasa wameshindwa, sasa sielewi unachojaribu ku-argue ni nini hasa mkuu?

4. Also, nikamalizia kwa kusema kwamba Sunday Manara na Kassim Manara, ndio wachezaji wa kwanza Tanzania kucheza Europe, kama professionals na since then hatujasikia mbongo yoyote akicheza huko as a pro, meaning kwamba wachezaji wa zamani walikuwa bomba kuliko wa sasa, bado una argue tu,

I mean off course kama unavyosema hii sio siasa maana ukweli hapa unajisema wenyewe, kwamba nani walikuwa bora unless unasema Mwaka 1980 tulipoenda Lagos, walicheza kina Lunyimila na George Masatu, they did not, waliotupeleka kule ni:-

1. Jumapondamali/Idd Pazi.
2. Juma Shabaan.
3. Mohamed Kajole.
4. Aloo Mwitu.
5. Jella Mtagwa/Leopord Mukebezi.
6. Adolf Rishard.
7. Shabaan Katwila
8. Zamoyoni Mogella.
9. Peter Tino/Jummane Masuminti.
10. Omar Hussein.
11. George Kulagwa.

- Sasa mkuu ukisema hawa ni wachezaji wa sasa, then utakuwa sawa, lakini otherwise bado I stand on my argument kwamba namba za zamani ni nyingi mno kuliko za wachezaji wa sasa, meaning kwamba walikuwa bora zaidi kuliko wa sasa.

Respect.

FMEs!
 
FMEs hebu achana na hicho kitoto kwanza hata hakijui kupanga point zake vizuri kwani .....hata akija kichaa/mwehu hapa atakueleza bongo mpira ulikuwa juu enzi hizo.Mie nipo huku ughaibuni lakini huwa kila nikija bongo sitaki hata kwenda uwanja wa Taifa,wachezaji wa kisasa wanaboa wana viumbo vidogo utasema YOSSO na mpira kiukweli hakuna zaidi ya matangazo.
Umemwekea kijana data zote lakini anaonekana anapenda ligi.
uliyemuulizia Kassim Manara,jamaa bado yupo Austria na wala hakufungwa ni majungu tu ya wabongo...ila kwa sasa mpira kaacha ana familia yake na ni mtu wa swala tano.
kijana wa Ikombandulu naomba usinimeze.
 
2009-05-02 15:33:32
By Bilham Kimati

With the Mainland premiership soccer league just behind us, the Tanzania Football Federation has set a timeframe for the registration of players.
It`s a ``window`` club leaders ought to use to recruit players for the next season, replacing those who have lost form, hung their boots or changed their minds.

The offer is open to all 12 premiership teams but it is Yanga and Simba, Mainland`s representatives in the Confederation of African Football (CAF), that need to be most especially cautious. The two Dar es Salaam-based archrivals have the task of recruiting formidable line-ups able to contain the shockwaves of continental club tournaments.

While Yanga have secured the CAF`s Champions League berth, Simba have earned a lucky Confederations` Cup slot to bounce back into international soccer. The two teams have the duty of intensifying their recruitment efforts if they are to excel in continental soccer. Fans will settle for nothing less than seeing them reach the quarter finals or last eight stage in the case of Yanga, who have retained the Mainland title in style.

The team has the daunting task of reviewing their continental league performance and make appropriate adjustments ahead of next year`s showdown. There is no denying that many Tanzanians are soccer mad, as so compellingly exhibited during the epic Yanga-Simba return leg match of the Mainland premier league at the National Stadium last month.

The recent Yanga-Al-Ahly CAF Champions League return leg encounter in Dar es Salaam is another memorable proof of this fanaticism, going by the record number of spectators at the same stadium for the duel. Our flag bearers should make use of the three-month recess ahead of the resumption of national premier league action in August to organise their internal affairs, the main focus being on recruitment of quality players.
It is a long time since Tanzanian clubs last fared well in continental football.

With proper planning, the teams will have what they need to prove that they did not qualify for their upcoming continental assignments by chance.
It`s high time our clubs did away with old-fashioned preparations, Modern soccer is real business and one must have ingenious strategies to succeed.

It is also worth remembering that the kind of players clubs register will always have a direct bearing on the quality of the national team. All national teams that have excelled in continental championships or the FIFA World Cup have their success directly linked to solid club soccer foundations.

By making prudent use of the registration `window` just opened, premiership and other clubs will spare Taifa Stars`` chief Marcio Maximo unnecessary selection headaches. It is our hope that the clubs will use the resources at their disposal to build formidable teams for use in domestic leagues and the national and not otherwise.

  • SOURCE: Guardian
 
1.Athumani Mambosasa-If in doubt ask any Egypt's Mehalla el- Kubra 1970's fan.

2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.

3.Abdallah Kibadeni-Simply King.

4. Gibson Sembuli-Hot shoot Hamish.

5. Maulidi Dilunga-African 11 Captain.

6. Omary Mahadhi-Tanzania One(Original)

7. Zamoyoni Mogella-Golden Boy

8. Gobos-Pioneer

9. Omary Gumbo-Zilipendwa

10. Omary Hussaini-Keegan

Mkuu,I don't see Method Mogella(hii ilikuwa beki bwana - Ndovu enzi hizo,enzi zake akiwa anasoma Arusha Technical College - RIP), Fumo Felician(remember mechi kule Ushelisheli kama sikosei),Kitwana!Gone are the days....
 
- Mkuu naona una something more than hii debate ya mpira, kama ni ushindi basi ngoja nikupe, maana sielewi unachozidi kubisha, unabisha nini?

- Swali la Mada ni nani the best ever katika soccer la Tanzania?

1. Jibu langu ni kwamba Maulidi Dilunga na Mahadhi, wanashika namba moja kwa sababu wao ndio wachezaji wa kwanza Tanzania kuchaguliwa kushiriki kwenye timu ya Africa, na since then hajatokea mwingine tena nchini kuweza kuchagulwia timu ya Africa.

2. Futhermore, nikasema wachezaji wa zamani walikuwa better kuliko wa sasa kwa sababu, wao waliweza kushinda vikombe vingi vya mashindano ya East Africa, kwenye Clubs na National kuliko wa sasa, Yanga wameshinda mara tatu, Simba wameshinda mara tano, sasa je wachezaji wa sasa wameshinda nini? sioni ukitoa majibu!

3. Then again, nikasema National ya zamani ilishinda mara nyingi kombe la Challenge na hata kufikia finali ya Africa kule Lagos, lakini wa sasa wameshindwa, sasa sielewi unachojaribu ku-argue ni nini hasa mkuu?

4. Also, nikamalizia kwa kusema kwamba Sunday Manara na Kassim Manara, ndio wachezaji wa kwanza Tanzania kucheza Europe, kama professionals na since then hatujasikia mbongo yoyote akicheza huko as a pro, meaning kwamba wachezaji wa zamani walikuwa bomba kuliko wa sasa, bado una argue tu,

I mean off course kama unavyosema hii sio siasa maana ukweli hapa unajisema wenyewe, kwamba nani walikuwa bora unless unasema Mwaka 1980 tulipoenda Lagos, walicheza kina Lunyimila na George Masatu, they did not, waliotupeleka kule ni:-

1. Jumapondamali/Idd Pazi.
2. Juma Shabaan.
3. Mohamed Kajole.
4. Aloo Mwitu.
5. Jella Mtagwa/Leopord Mukebezi.
6. Adolf Rishard.
7. Shabaan Katwila
8. Zamoyoni Mogella.
9. Peter Tino/Jummane Masuminti.
10. Omar Hussein.
11. George Kulagwa.

- Sasa mkuu ukisema hawa ni wachezaji wa sasa, then utakuwa sawa, lakini otherwise bado I stand on my argument kwamba namba za zamani ni nyingi mno kuliko za wachezaji wa sasa, meaning kwamba walikuwa bora zaidi kuliko wa sasa.

Respect.

FMEs!

Simba na Yanga wameshinda vikombe 90s mara nyingi zaidi ya hiyo list ya Stars in 1980. So kama kushinda makombe ndio kuwa na wachezaji wazuri.....mbona list yako haina wachezaji kama kina Athumani China aliyechezea Walsall UK in the 90s? Ina maana Edibily kacheza mwaka gani? Katengeneza jina 90s. Late 80s nimemwona anacheza UMISETA nyamagana kama sikosei.

Dont get it twisted. Ubishi wa kisiasa......dude dont force it.

We Mauza uza, uko ughaibuni ya wapi lol....you cant analyse s.hi.te, kazi kukashifu tu. Hujajibu maswali niliyokuuliza. All you do is jump on FMES, thingy!! Haaa.

I will be back. Am busy.
 
SIMPLE QUESTIONS:
1) How many games did the so greatest team of Tanzania play to qualify for the 1980 African Nations Cup?
2) IF they were so great, why didnt they qualify for the 70s finals, and every 2 years after 1980? si wachezaji wale wale?
3) If Tanzania was so great, why has Uganda and Kenya won more CECAFA and Gossage cups? So how did we dominate them?
4) FMES dont get it twisted........I repeat Yanga and Simba won more cups in the 90s and ur so great players of 80s and 70s won less!! I told you before, I am a late 80s, 90s kid....even though I think they were average.....I still DEFEND THEM OVER YOU SO CALLED GREATS kina Manara and co. After 92, the qualification to African Nations cup is more difficult.

5) Above all tunajisifia kushinda vikombe vya CECAFA. Je klabu bingwa Africa tumeshinda lini? Siku tukianza kuwatoa Wa-Misri, ndio tutakuwa tunajua mpira.

No one rembers losers, no one remembers third places
........FOR A LONG TIME YOU OLDIES HAVE ALWAYS FILLED US WITH YOUR FANTASY...AMAZING 60s AND 70s FOOTBALL.........A CLOSE SCRUTINY PROVES OTHERWISE........
I will do my outmost best to get the videos of the 1980 Finals.

HAHAHAAAAA............kumbe story nilizokuwa nadanganywa utotoni sijui kina Sembuli, sijui Manara computer hazikuwa zinaleta makombe yoyote kimataifa.

Kuhusu modern players ambao hawajashinda makombe ndio kuna kina Henry Joseph wanacheza Sweden. Ujinga uliopo Tanzania, huyo kijana mwingine wa Simba kapata mchongo Sweden ligi kuu, Simba wanataka kumzibia wanapeleka jina lake kwenye usajili wao. Haya, Ngassa alipata trials West Ham. Kina Kali wanajitahidi huko Sweden, atleast hata uki-google unawaona. Hao kina Manara huwaoni. Kuna dogo wa Kikwa, dogo alikua Youth System ya Ajax, akaumia. Sijui kama aliendelea mpira au vipi. Kuna Mkandawire anacheza UK. Kuna dogo yuko Youth system Chelsea.....Na wengine wapo wengi tu ambao nawajua mtakuja kuwasikia tu wakibanana.......Now tell me, how many of those old players even managed to play even in lower leagues in Europe?
 
- Mkuu unasema mengi sana, lakini unashindwa kujibu swala dogo sana, ni kwamba Tanzania tuna ishus za soccer ambazo ni iconic, kwa mfano Taifa Stars kufika finali ya African Cup kwa National Teams za Africa, na Maulidi Dilunga na Omar Mahadhi kuchezea African Team, sasa ukiweza kujibu iwapo haya yametokea karibuni, basi hatutakuwa na ubishi zaidi mkuu,

- Sunday na Kassim Manara ni wa-Tanzania wa kwanza kucheza pro, sasa you can jump and cry lakini huwezi badili haya mpaka wachezaji wetu wa sasa watakapofikia hii level. Hapa hamna ugomvi ila tunaelimishana tu tulikotoka!

Respect.

FMEs!
 
Naomba ujibu maswali yangu hapa chini;

Na mimi najibu maswali yako;

1. Kupeleka wachezaji wawili au mmoja out of 8 teams in the finals on a combo team is an ok return. Sijakataa sio achievement. Ukijibu maswali yangu hapo juu utaona this was nothing spesho.

2. Manaras can be the 1st, but walicheza timu average zisizokuwa na historia. Infact hata hujui club gani (Kassim Manara) wala mechi ngapi walicheza. Being first without notable achievement is nothing special.

Sasa naomba unijibu maswali yangu hapo juu. Hao kina Manara ni 70s au 90s? LOL.

Jibu maswali, usikimbie na kubadilisha direction kama ule mchongo wako wa kupeleka watu majuu kufanya kazi. Au Mauza uza ndio ulipata tripu ya ughaibuni?
 
- Manaras walikuwa ni kwanza kucheza nje as pro, na ilikuwa ni mwishoni mwa 70s, kwenda early 80s.

- Mradi wakazi una thread yake, hapa ni mpira hivi ndio tunaita viroja watu wanapoishiwa hoja, kila kitu na mahali pake mkuu, Bwa! ha! ha! ha!

- Wachezaji wa zamani walifika Finali ya Africa Cup, wa sasa wameshindwa, Dilunga na Mahadhi wamecheza All African Team wa sasa wameshindwa hizi ni simply facts, nothing to do mradi wa kazi majuu!

Respect.

FMEs!
 
SIMPLE QUESTIONS:
1) How many games did the so greatest team of Tanzania play to qualify for the 1980 African Nations Cup?
2) IF they were so great, why didnt they qualify for the 70s finals, and every 2 years after 1980? si wachezaji wale wale?
3) If Tanzania was so great, why has Uganda and Kenya won more CECAFA and Gossage cups? So how did we dominate them?
4) FMES dont get it twisted........I repeat Yanga and Simba won more cups in the 90s and ur so great players of 80s and 70s won less!! I told you before, I am a late 80s, 90s kid....even though I think they were average.....I still DEFEND THEM OVER YOU SO CALLED GREATS kina Manara and co. After 92, the qualification to African Nations cup is more difficult.

5) Above all tunajisifia kushinda vikombe vya CECAFA. Je klabu bingwa Africa tumeshinda lini? Siku tukianza kuwatoa Wa-Misri, ndio tutakuwa tunajua mpira.

No one rembers losers, no one remembers third places........FOR A LONG TIME YOU OLDIES HAVE ALWAYS FILLED US WITH YOUR FANTASY...AMAZING 60s AND 70s FOOTBALL.........A CLOSE SCRUTINY PROVES OTHERWISE........
I will do my outmost best to get the videos of the 1980 Finals.

HAHAHAAAAA............kumbe story nilizokuwa nadanganywa utotoni sijui kina Sembuli, sijui Manara computer hazikuwa zinaleta makombe yoyote kimataifa.

Kuhusu modern players ambao hawajashinda makombe ndio kuna kina Henry Joseph wanacheza Sweden. Ujinga uliopo Tanzania, huyo kijana mwingine wa Simba kapata mchongo Sweden ligi kuu, Simba wanataka kumzibia wanapeleka jina lake kwenye usajili wao. Haya, Ngassa alipata trials West Ham. Kina Kali wanajitahidi huko Sweden, atleast hata uki-google unawaona. Hao kina Manara huwaoni. Kuna dogo wa Kikwa, dogo alikua Youth System ya Ajax, akaumia. Sijui kama aliendelea mpira au vipi. Kuna Mkandawire anacheza UK. Kuna dogo yuko Youth system Chelsea.....Na wengine wapo wengi tu ambao nawajua mtakuja kuwasikia tu wakibanana.......Now tell me, how many of those old players even managed to play even in lower leagues in Europe?

weee **** unapoangalia wachezaji wetu kuanza kucheza lini ulaya lazima pia uangalie watu weusi walianza lini kuingia kucheza huko sio unajump tuu kwenye conclusion eti these days wabongo wengi wanacheza au wako kwenye trials. siku hizi ni easy kulinganisha na zamani.Lakini UTAKE au USITAKE wachezaji wetu wa zamani walikuwa wako juu sio sasa na hapo tunaongelea 70's,80's na 90's sio hawa bongo flava.
FYI mie nimeondoka bongo kabla hata wewe hujaingia mujini(Dar) toka Ikombandulu na mpira naujua sio wa kubahatisha kaa wako.
 
Wacha kabisa. Yaani orodha yako haina jina la Nicodemus Njohole - are you serious

11. Peter Tino

12. Ramadhani Mtemi

13. Kocha Mchezaji - Hassani Hafif

14. Ardolph Rishard

15. Leodgar Tenga

16. Jela Mtagwa

17. Mohammedi Kajole

18. Ahmed Amasha
nini kuhusu George Masatu,Abeid Mziba,Salum Kabunda{Ninja},Damian Kimti,Dua Said,fumo felician
 
Guys,

Everyone will come up with his list, our problem we don't have statistics to justify our selection, sasa kama unataja top ten yako bila kutoa vigezo inakuwa utata.
Kwa mfano tumchukulie Hamis Thobias Gaga, lazima uje na vitu kama hivi
a. Mchezaji kacheza game ngapi za ushindani
b. Ngapi alianza na ngapi kaingia kama sub
c. Kafunga magoli mangapi, na ameassist magoli mangapi katika position yake.
d. Position alizocheza akiwa uwanjani
d. Complete pass ni ngapi, Tackles fyongo ngapi na sahihi ni ngapi
e. Red cards, Yellow etc...

Sasa hapa kila mtu anakuja na list yake kutoa vigezo inakuwa shughuli. kwa hiyo mi naona bila guide tutakuwa tunapoteza muda tu. Labda tungepata mwana JF aliye TFF atueleze kama wana records za hawa wachezaji.

Juzi niliuliza swali dogo tu, Yupi ni Tanzania Premiership Top scorer ever? hatujui hata TFF sidhani kama wana record hizi.

Suggestions:-

TFF anzeni kuweka kumbukumbu, hadi hizi kadi tu huwa zinatela utata mara kwa mara kwa mfano nani ana kadi nyekundu nyingi Simba anayeshika record? (Mnazo lakini sidhani kama zinakidhi viwango vya kimataifa)

Club anzeni pia kuweka zetu pia, fungueni vitengo vya mawasiliano kwa njia ya komputa ICTwatu wapo kibao wa kuwafanyia design na implemtation ya hizo database, ni muhimu sana kwa soccer la kisasa.

Wachezaji binafsi pia anzeni kuweka record zenu, kwa mfano nikimuuliza Kaseja sasa hivi amecheza game ngapi, Clean sheet ngapi tangu aanze kucheza ligi, ngapi anazo alipokuwa yanga, na anazo ngapi muda wote akiwa Simba, ataniambia nimpe muda atafute.
Unapotaka kucheza soka la wenzetu, swali la kwanza utaulizwa ni Umri na Pili ni data hizo zote nilizozitolea mfano as your C.V.

I think its time now to implement ICT in soccer, najua zipo ila siyo strong ki vile.

mkuu umeongea sense mtupu.
 
weee **** unapoangalia wachezaji wetu kuanza kucheza lini ulaya lazima pia uangalie watu weusi walianza lini kuingia kucheza huko sio unajump tuu kwenye conclusion eti these days wabongo wengi wanacheza au wako kwenye trials. siku hizi ni easy kulinganisha na zamani.Lakini UTAKE au USITAKE wachezaji wetu wa zamani walikuwa wako juu sio sasa na hapo tunaongelea 70's,80's na 90's sio hawa bongo flava.
FYI mie nimeondoka bongo kabla hata wewe hujaingia mujini(Dar) toka Ikombandulu na mpira naujua sio wa kubahatisha kaa wako.

Wewe unapenda kutukana tu, zaidi ya hapo unaongea zero. Low self esteem.
Inaonekana we mbwia unga tu lol ulidandia meli, wagiriki walikutosa baharini? maana lugha yako ndo ya kina wale wale.....vipi, utumbo umeoza? game tight? sphincter muscle lose? Umekwama Brazil? lol, sema tukutumie nauli...najua game ikiwa tight unatoswa na washikaji.
Eti mpira wa kubahatisha hahaaa. UMISETA umejisifu. Nimeshakwambia mimi nimezaliwa Dar na sioni bigi dili, wakuja kama wewe ndio unaona sijui vipi.....tatizo vijana wa uswahilini hata ukikaa shanty Dar unajiona uko juuu LOL.
 
SIMPLE QUESTIONS:
1) How many games did the so greatest team of Tanzania play to qualify for the 1980 African Nations Cup?
2) IF they were so great, why didnt they qualify for the 70s finals, and every 2 years after 1980? si wachezaji wale wale?
3) If Tanzania was so great, why has Uganda and Kenya won more CECAFA and Gossage cups? So how did we dominate them?
4) FMES dont get it twisted........I repeat Yanga and Simba won more cups in the 90s and ur so great players of 80s and 70s won less!! I told you before, I am a late 80s, 90s kid....even though I think they were average.....I still DEFEND THEM OVER YOU SO CALLED GREATS kina Manara and co. After 92, the qualification to African Nations cup is more difficult.

5) Above all tunajisifia kushinda vikombe vya CECAFA. Je klabu bingwa Africa tumeshinda lini? Siku tukianza kuwatoa Wa-Misri, ndio tutakuwa tunajua mpira.

No one rembers losers, no one remembers third places
........FOR A LONG TIME YOU OLDIES HAVE ALWAYS FILLED US WITH YOUR FANTASY...AMAZING 60s AND 70s FOOTBALL.........A CLOSE SCRUTINY PROVES OTHERWISE........
I will do my outmost best to get the videos of the 1980 Finals.

HAHAHAAAAA............kumbe story nilizokuwa nadanganywa utotoni sijui kina Sembuli, sijui Manara computer hazikuwa zinaleta makombe yoyote kimataifa.

Kuhusu modern players ambao hawajashinda makombe ndio kuna kina Henry Joseph wanacheza Sweden. Ujinga uliopo Tanzania, huyo kijana mwingine wa Simba kapata mchongo Sweden ligi kuu, Simba wanataka kumzibia wanapeleka jina lake kwenye usajili wao. Haya, Ngassa alipata trials West Ham. Kina Kali wanajitahidi huko Sweden, atleast hata uki-google unawaona. Hao kina Manara huwaoni. Kuna dogo wa Kikwa, dogo alikua Youth System ya Ajax, akaumia. Sijui kama aliendelea mpira au vipi. Kuna Mkandawire anacheza UK. Kuna dogo yuko Youth system Chelsea.....Na wengine wapo wengi tu ambao nawajua mtakuja kuwasikia tu wakibanana.......Now tell me, how many of those old players even managed to play even in lower leagues in Europe?

- Manaras walikuwa ni kwanza kucheza nje as pro, na ilikuwa ni mwishoni mwa 70s, kwenda early 80s.

- Mradi wakazi una thread yake, hapa ni mpira hivi ndio tunaita viroja watu wanapoishiwa hoja, kila kitu na mahali pake mkuu, Bwa! ha! ha! ha!

- Wachezaji wa zamani walifika Finali ya Africa Cup, wa sasa wameshindwa, Dilunga na Mahadhi wamecheza All African Team wa sasa wameshindwa hizi ni simply facts, nothing to do mradi wa kazi majuu!

Respect.

FMEs!

Naomba ujibu maswali yote fully. The most important is question number 1 in Red......do not dilly dally mate!! This is not politics, jibu swali kama lilivyoulizwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom