Top ten Countries without access to toilets. Kenya haiko. Tanzania iko top 10

LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,825
1,493
Tanzania iko top ten kwa different statistics.
5254380_graficosanitation1_png02a434cff6bae6a9394088c23dbfdd5b.png
1447845069-976_Top-10-countries-without-access-to-improved-toilets-Number-of-people-chartbuilder.png
 
I am Kenyan but habari hii nikama kujifunga goli (own goal)...pia sisi tuna shida nyingi sana kwa sector hii ya sanitation Kibera sio jambo la kujivunia..ukweli usemwe tu...tutakapomaliza shida hizi ndipo tunafaa kuja kujivunia...kwa sasa nikama tu mbilikimo wawili wanapimana urefu na kuchekana..No pun intended..just being real
 
Does pit latrine qualify to be improved toilet? Asilimia 98 ya watanzania wanatimua vyoo vya shimo.
Mkuu hata hizo za shimo hamna. Nakumbuka 2004 kwenye kijiji cha Mikwinini kule Kwamkoro Amani Tanga,Mwenyekiti wa kijiji aliyejulikana kwa jina Alex,alivuliwa madaraka na mkutano mkuu wa kijiji kwa kufuatilia swala la kila kaya kuwa na choo ya shimo.
 
China na Russia ni due to high population. Ila Tanzania nchi ya watu millioni 50 ina watu milioni 44 hawa vyoo - that's 88%. Gosh!
Tufanye China na Russia ni kutokana na wingi wa watu.
Tanzania ni kutokana na nini?
 
This is pure bullshit. It's better to compare our best. Not our worst. I don't think Kenya is better off in this regards. I have never been to Tanzania but the few I have met are always clean and know how to use a toilet.
 
Yes the "rich" wachawis of the south hata kunya mnaenda tu msituni na mikono? Eeh?? Scoop the remainder like honey juu hakuna tissue?
 
China ipo, Russia ipo, ila kuna jamaa mmoja kaiona Tanzania tu.

Acheni kuitazama Tz, mtachelewa kufanya yenu.
Yes But Russia is
15,000,000km2
Russia is Half the size of Africa
One side of Russia is Day time The otherside is Night time

Russia is Covered by Snow in the most part of the country

On the otherhand
China is 9,000,000km2
With 1.23bn people...

What is tanzania excuse?

900,000km2 with only 50mn people
And there are no major weather or enviromental hardships in TZ
 
Now Samuel 999 it's not to say TZ is any better. close this thread I suggest
 
Mkuu hata hizo za shimo hamna. Nakumbuka 2004 kwenye kijiji cha Mikwinini kule Kwamkoro Amani Tanga,Mwenyekiti wa kijiji aliyejulikana kwa jina Alex,alivuliwa madaraka na mkutano mkuu wa kijiji kwa kufuatilia swala la kila kaya kuwa na choo ya shimo.
Nimecheka kwa sauti!
 
Yes But Russia is
15,000,000km2
Russia is Half the size of Africa
One side of Russia is Day time The otherside is Night time

Russia is Covered by Snow in the most part of the country

On the otherhand
China is 9,000,000km2
With 1.23bn people...

What is tanzania excuse?

900,000km2 with only 50mn people
And there are no major weather or enviromental hardships in TZ
Kama kila tukishindwa kitu tunatafuta visingizio hata sisi tunaweza kusema kua choo ni interest ya mtu, na kwakua hizo takwimu hazijaonyesha wanavyosema improved wanalenga choo kipi, hivyo yawezekana tulivyo navyo sivyo ambavyo wao wanaconsider "improved latrines" hivyo interest zetu hazijamatch na matakwa yao.

Watu 44M kutokua na sehemu ya kumwaga uchafu, magonjwa ambayo yangelipuka humu yangefika mpaka kwa nchi jirani.

Mkuu jiongeze.
 
China ipo, Russia ipo, ila kuna jamaa mmoja kaiona Tanzania tu.

Acheni kuitazama Tz, mtachelewa kufanya yenu.
Ongezea hapo China imeshika nafasi ya pili dunian
Hebu kuweni serious. China population iko almost 2.5bn, lakini hapo unaona ni watu karibu 329mn hawana vyoo, that is around 13% of the total Chinese population. The rate fo Russia is even lower, but Tanzania........44mn pipo out of the total population of 52mn pipo have no adequate access to toilets.......and that is quite staggering!
 
Back
Top Bottom