Tanzania hamna system of education that's why mnakula Albino na watoto wachangaKenya
Hapo Miradi yote ya nchi inajengwa na Wachina yet nchi imekuwa ikitrain Engineers miaka 60 sasa,
nchi imejaa mafisadi, Nairobi maji hakuna, maelfu wanakufa njaa leo 2020 wataalamu wa kilimo wameshindwa hata kubuni mradi mmoja wa umwagiliaji,
Nairobi inakuwa na Gavana kama Sonko anavaa minyororo kama Umbwa, nchi imejaa ukabila na imetawaliwa na kabila moja tangu uhuru,
Hehehehe acha tu niishie hapa.
Hiyo list labda Egypt tu wengine wote hamna kitu, Tena South Africa ndio Bure kabisa