King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,342 Reaction score 88,521 Jul 10, 2015 #1 Umofia kwenu wana JF, Kama wewe unaenda na wakati basi lazima utakuwa unatumia simu za kisasa.Yafuatayo ni majina ya simu tano za kisasa ambazo zinatesa sokoni kwa sasa. 1.HTC One M9 2.IPhone 6+ 3.LG G4. 4.Samsung galaxy S6. 5.Samsung galaxy note 4 Edge.
Umofia kwenu wana JF, Kama wewe unaenda na wakati basi lazima utakuwa unatumia simu za kisasa.Yafuatayo ni majina ya simu tano za kisasa ambazo zinatesa sokoni kwa sasa. 1.HTC One M9 2.IPhone 6+ 3.LG G4. 4.Samsung galaxy S6. 5.Samsung galaxy note 4 Edge.
Javis Elias Balilemwa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 489 Reaction score 67 Jul 10, 2015 #2 haya bwana¡!!!@
J Jenerali Ambamba JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 3,344 Reaction score 2,537 Jul 10, 2015 #3 duuuu...haya...
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jul 10, 2015 #4 Mbona la lowassa halipo? ?
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,392 Reaction score 7,863 Jul 10, 2015 #5 King Kong III said: Kivipi mkuu? Usiwe na mihemko,Hiyo ni top 5.inayotesa sokoni kwa sasa Kama hauna moja ya hizo cm pole. Click to expand... Unalipwa kwa iyo promotion au we ni kibaraka tu?
King Kong III said: Kivipi mkuu? Usiwe na mihemko,Hiyo ni top 5.inayotesa sokoni kwa sasa Kama hauna moja ya hizo cm pole. Click to expand... Unalipwa kwa iyo promotion au we ni kibaraka tu?
N nyambuta manyembe Member Joined Jun 11, 2015 Posts 16 Reaction score 2 Jul 10, 2015 #6 we naeeeee,,,, siye tunatafakari uchaguzi we na visimu vyako hiyo hela ya ya hizo simu unayo au sifatuuu. fyuuuuuu.:blah::blah::angry::angry::angry:
we naeeeee,,,, siye tunatafakari uchaguzi we na visimu vyako hiyo hela ya ya hizo simu unayo au sifatuuu. fyuuuuuu.:blah::blah::angry::angry::angry:
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 10, 2015 #7 Mhhhhhh I love my window phone
Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 561 Reaction score 922 Jul 10, 2015 #8 sumbai said: Mbona la lowassa halipo? ? Click to expand... lowasa 6+ utamuona tu sokoni bado hawajamtangazwa kwenye soko la ushindani.
sumbai said: Mbona la lowassa halipo? ? Click to expand... lowasa 6+ utamuona tu sokoni bado hawajamtangazwa kwenye soko la ushindani.
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,852 Jul 11, 2015 #9 King Kong III ona sasa umesababisha wenzako presha imepanda Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,769 Reaction score 129,510 Jul 11, 2015 #10 King Kong III list haijakamilika...TECNO iko wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016