Top Five Countries With Most Natural Resources

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,086
1. Russia main natural resources Coal, gold, gas and timber. Value of natural resources $75 trillion.
2. USA main natural resources gas,gold,copper,and oil Value of natural resources $45 trillion.
3. Saudi Arabia main natural resources Gas and oil Value of natural resources $34.4 trillion
4. Canada main natural resources Uranium, timber, oil, phosphate and gas. Value of natural resources $33.2 trillion.
5. Iran main natural resources oil,gas and gold. Value of natural resources $27,5 trilion.
 
Tanzania Gas,Gold,Uranium......Value of natural resources $ 55 trillion but still very poor.
Tanzania nchi Tajiri wa rasilimali kwa Africa, mali zinaliwa na wachache na nyengine hatujakuwa na teknolojia ya kuziendeleza rasilimali zetu
 
USA iko #2 kwa gas,oil,Gold na copper!! That mean-Gas and oil from Saudi arabia,copper from Zambia,Gold from Iran,plus++++++ from where else!! USA!the rock.
 
Hapa mnaweza kuona USA haina ubavu kwa Russia inaishi kwa kuiba maliasili za nchi masikini kama Tanzania
 
Ya kwanza duniani ni Afghanistani ya pili ni DRC
 
Tanzania-gold,copper,uranium,oil,tanzanite,diamond,national park 15,water bodies eg ruvu,wami,rufiji,ruaha,ruvuma,kagera,malagarasi,pangani,nyumba ya mungu,hale,mtera,kidatu,victoria,tanganyika,nyasa,rukwa,mlima kilimanjaro,bahari
etc..pamoja na vyanzo vyote vya maji lakini serikali inaagiza makapi ya mchele kutoka thailand kwa sh 600,badala ya kununua pembejeo za kilimo kwa wakulima wao wanafanya sifa.
halafu bado ni nchi masikini ya kutegemea misaada,halafu wanasema nchi itakumbwa ukame na njaa.Aiseeeeee hii ni laana
 
Tanzania nchi Tajiri wa rasilimali kwa Africa, mali zinaliwa na wachache na nyengine hatujakuwa na teknolojia ya kuziendeleza rasilimali zetu
Kwa elimu tunayopata ya kurudi kinyume nyume sahau aseee...... kuwa na teknolojia ya kuongeza dhaman vitu vetuu
 
USA iko #2 kwa gas,oil,Gold na copper!! That mean-Gas and oil from Saudi arabia,copper from Zambia,Gold from Iran,plus++++++ from where else!! USA!the rock.
US anavyo ila yeye vyake hatumii kaz yake kuiba za wenzake na km anatumia ni kiasi kidogo sana vya kuiba ndo anatumia vyake kavihifadhi
 
in GOD we trust.

Gas
Oil
Diamond.
 
Hapa mnaweza kuona USA haina ubavu kwa Russia inaishi kwa kuiba maliasili za nchi masikini kama Tanzania
US wana reserve kubwa ardhini ambayo haijachimbwa wanazotumia kwasasa ndio za wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…