fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
"Waliowengi" wakiongozwa na CCM wamejikuta wamejifunga na msimamo wa serikali 2 na kushindwa kujibu hoja na maswali ya msingi yalioibuliwa na walio "wachache"....
Nidhahiri kabisa CCM na haikuwapa nafasi wajumbe wake kujadili mfumo wa serikali kwa uhuru na uwazi ili wawe na msimamo mmoja kabla ya kwenda kwenye bunge maalamu la katiba. Naamini kabisa mfumo wa S2 ulitoka kwa viongozi wa juu wa chama na kuwaagiza wajumbe na mabaraza yote waufate bila kuwapa fursa kuyajadili na kuhoji maamuzi hayo kwa uhuru na uwazi....wangepewa hiyo fursa wangeweza kuona mapungufu makubwa ya S2 yalioanikwa na wachache na
1) kubadili msimamo na kua na msimamo wa S3 au
2)kujibu hoja zilizoletwa na wachache juu ya ubora wa S3 na mapungufu ya S2 na histori yake
Nidhahiri kabisa wajumbe wengi wa ccm na viongozi wa taifa pamoja na ofisi ya raisi, makamu wa rais na waziri mkuu walitaka muundo wa serikali 3. Lakini msimamo umebadilika ghafla baafa ya rasimu ya kwanza kutoka...
Hapa nini kilitokea?
Nachooa wengi ndani ha CCM wanaburuzwa, kwa hofu ya kutengwa na chama na kukosa hela ya campaign....