Top Al-Shabab commander Confirmed dead

Status
Not open for further replies.
Cynic angalia sana,uwe mwangalifu kuhusisha watu kwenye hii haramu ugaidi. FaizaFoxy siyo gaidi. Mrembo Faiza kujihusisha na hiyo shughuli,yeye ni mpambanaji wa hoja kwa anachoamini. Nimependa misimamo yake kwa hoja zake.
 
Last edited by a moderator:
Mbona jana wamefungua tawi jipya Asia kule India lakini Viongozi hawakuwa na la kusema
 
Unategemea adui yako akikuotea atakupa juice !?
Na wewe ukimuotea unachinja kam yule Mwandishi, halafu unatupia kwenye kichupa !

hujajibu swali wamefanya vyema au vibaya ?
 
Hii siyo breaking news.

Sasa ni nini Matola? Al jazeera,CNN,BBC na SKY NEWS wameileta kama breaking news...ni kweli haya mashambulizi yamefanyika juzi au siku tatu zilizopita ila USA walikuwa bado hawana uhakika kama mbabe huyu alikufa kwenye shambulio lile. Leo baada ya kuufanyia mwili wake DNA ndipo wamethibitisha kama ndio yeye na amekufa.
 
Last edited by a moderator:
Osama is dead but still taliban is a threat. Sadam has gone İraq is still boiling, How many taliban and alshabab leaders have been killed while the groups still prevail??? So this is just the start of the game. Its impact is insiginificance

So?????
 
Hivi nyie waislamu hamjui kuwa Hakuna atae weza enda mbinguni pasipo kupitia kwa Yesu
 
Gamba Sugu sì uanze uzi wako jamani. Mbona unachanganya mada.
 
Last edited by a moderator:
kwa alshabab au vikundi vinavyo sukumwa na imani za kidini, haijalishi amri ya kufanya ugaidi inatoka kwa nani.hapo ni sawa na mmoja anakufa mmoja anazaliwa.
 
Mimi Sipiganii JIHAD. kama imekuuma kajiunge nao.

wenzako wapo uwanja wa vita wewe nyuma ya keyboard!!!!!

Kushupalia na kutetea waliosambalatisha waislam na uislam wa Taifa la Somalia ni ugonjwa pia.
 
Je, huu ni mwanzo wa kusambaratika kwa kundi hili au ndiyo mwanzo wa kuimarika zaidi kutokana na kifo cha bossi wao?

Hao wamekwisha na InshaAllah wote watauawa , hao hawana dini ni majambazi na wauwaaji na vichaa wafe na mungu awamalize
 
Stay blessed USA. Endelea kuua haya magaidi yanayoua watu wasio na hatia wakati yenyewe yakiogopa kuuawa na kutaka yaendelee kuishi
 

........another Commander replaces him and the struggle continues !
Umesahau alikuwepo mbabe wa kivita General Mohamed Farah Aideed, ambaye aliua makomandoo kadhaa wa US !? Wanu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…