Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Haya!
Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1.
Tatizo mweusi sanaBonus. Baraka da price
Kwahyo hadi nyimbo zake nyeusi?Tatizo mweusi sana
Hiyo list ya Alawi Junior.Ali Kiba anafanya nini hapo?
ndio nani huyu huyu alawi alawitiwa!
Haya!
Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1.