Top 5 ya urais 2015

Hapo ulipoweka Magufuli, weka Januari Makamba, then Revert Oodha
1. Edward Loassa
2. Wilbroad Slaa
3. Januari makamba
4. Sioni mtu
5..... SIJUI
 

Zitto kabwe yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Magufuli anafaa kupokea order na kuitekeleza. Ila yeye hafai kua rais! Muondoe.


Hapo umesema kweli lakini umesahau moja kuwa alishiriki kuuza nyumba za serikali na viwanja nyeti bila ridhaa ya umma. Atafanya yote, atakejeli wapinzani ati kwa sababu anajenga barabara sizokuwa na viwango tena kwa pesa za wafadhili kwa gharama kubwa kuliko nchi zilizotuzunguka lakini dhambi hiyo haifutiki na alshaandikwa kwenye vitabu chafu 9black books) za historia
 

Kama vipi basi wawekeeni jedwali la vote tuwapime kwa kura...
 
Unaropoka kila post hpa kujiongezea posho lumumba kukashfu viongozi wa CDM bila ushahid naomba MODS mumuondoe huyu m2 kwn hachangii lolote la maana ni kashfa 2 ili kutekeleza maagizo ya waliom2ma


Usibushane na huyo bwana nyingi ya posti zake aneendekeza udini na ukabila mimi nimeshasema namuombea kwa mungu amsamehe.
 

Kwa number moja wenzetu husema "need you say". Huyu ndiye tumaini lililosubiriwa na God bless let him come to serve and save. Bahati mbaya he will find all institutions in a shumbles but if we leave our ideological differences behind and really around him he will deliver. Na hii inawezekana kama tutaona Tanzania ya baadae a tukaachana na upuuzi unaonezwa na wasioitakia mema Tanzania tutafika kwenye Tanzania tuitakayo ambapo ****** na Mchaga watajiona kama Watanzania, Mhaya na Mgoni watajiona kama Watanzania na kama wote tutaona tuna haki ya kupata rais moingoni mwetu na sio stereotype ya Mhaya, Myakyusa au Mchanga hawezi kuwa. Kwa karne hii ukiona mtu anawaza hivi ujue maendeleo kwa nchi yetu ni swala la kufikirika
 
mi namba 1 namtaka kikwete arudie ili tembo nao wapande ndege na fisi
 
mimi nimeoa mchaga, wachaga wameoa na kuolewa Tz nzima sasa nani anasema mchaga hakubaliki ni kauli za wanasiasa za maji taka, wanaotaka kutumia ukabila na udini mchaga akigombea urais kama anasifa za kuwa rais atapata na kama hana sifa na akose mtu hatapata urais kwa sababu ya kabila lake hatuchagui chifu na hatakosa urais kwa sababu ya kabila lake ila kwa sababu hana sifa bila kujali anatoka kabila gani.
 
futa hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material..

KWeli nyie jamaa mna roho ngumu kama za paka...... Hizo nyimbo bado mnazo tu? Hahahaha! Kweli we mkabila ZEE LA KIMAKONDE!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…