Kwa ile game ya ufunguzi na kama kweli Arsenal wataweza kukaza mpaka mwisho, msimu unaokaribia kuanza unaweza kuwa wao bila shaka. Liverpool ameonesha kuchoka kwenye ile game.
Hawa wengine, sijui City na wenzake, tuje tuwapime kwa angalau game 10 za kwanza za ligi...na nirejee maneno ya Lex, "Mpaka kufikia 25th Dec, bingwa atakuwa keshajulikana", akipenda sana kusema hivyo miaka ile kisha kukamilisha na neno "Thank you" akiwa kakabidhiwa mic pale Theatre of dreams. Soccer kama mchezo wa ngumi, uko mbioni kupoteza ladha yake aisee, nikiikumbuka WC 1998, siuoni mpira mkubwa tena kama ule.