Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Aki kupa ni tag aseeMkuu ROBERTO 20 Sielewi tofauti ya hayo maneno mawili "Military" na "Army"
Naomba unisaidie kunitofautishia hapo mkuu.
Aki kupa ni tag aseeMkuu ROBERTO 20 Sielewi tofauti ya hayo maneno mawili "Military" na "Army"
Naomba unisaidie kunitofautishia hapo mkuu.
Military is a combination of Army,Navy and Air force.Mkuu ROBERTO 20 Sielewi tofauti ya hayo maneno mawili "Military" na "Army"
Naomba unisaidie kunitofautishia hapo mkuu.
Sawa, mkuu!Aki kupa ni tag asee
Kaazi kwelikweli..Ana shindwa angekuwa anaweza bwana yule huwa hachelewi
Ndo N.Korea apambane na huyo!!!!!...bac 2 kasarenda mapemaUkichukua ile military budget ya zile top 10 yaaani
$$(Egypt 4.4 + Germany 39.2 + Turkey 8.2 + Japan 43.8 + UK 45.7 + France 35 + India 51 + China 161 + Russia) = $432.9
Yaani uki combine nchi zote izo bado budget yake haifikii baba lao Uncle Sam $587
hahaha kwakweli na promo zao zote zile ....daahh"" sema Jamaa huwaga wanapewa back up na USA ....Hawezekaani Israel iwe ya 15 mkuu. Otherwise kama umeshirikiana na twaweza
Hujanielewa vizuri,So what???? Pita kushoto ka hazina umuhimu...
hahaha hawezi kumpiga kiboya"" wakati naye anajua kuwa atapata hasara ""....jamaa anamiliki ICBMAna shindwa angekuwa anaweza bwana yule huwa hachelewi
Kulingana na sentensi ulivyoiandika,nilikuelewa vzrHujanielewa vizuri,
Mkuu hata we we mwenyewe ukifkiria tu unadhani kiduku anauwezo wa kumpiga marekani??Ana shindwa angekuwa anaweza bwana yule huwa hachelewi
Hapo wanaongelea tu "Potentiality" as opposed to "Combat Capability", ambapo inapokuja kwenye uhalisia inaweza kuwa "A different ball game", na hapo ndipo mataifa kama UK, Israel France, Japan nk zinapokuwa balaa.Kwa hiyo jeshi la Israel limepitwa na jeshi la.nchi kama Pakstani na Egypt!! Duuh!!
10000000000000000000000000Hivi kwa hapa africa bongo tupo namba ngapi jeshi kali![]()
Base ni nini?Military budget sio issue,
marekani lazima iwe na bajeti kubwa kwasababu ya operations zinazofanyika kwani zinatumika pesa,mfano kuweka base moja tu nje kwa miaka nenda rudi,ni gharama sana,
sasa marekani wanabase karibu 500 duniani,zinahitaji pesa zote hizo na huko ndso mabilioni yanakotomea,
huwezi linganisha na china ,ambae ana base moja tu,kwahiyo pesa zake zinaenda sana katika research na weapons developments,
ndo maana china wanavyafua manowari na ndege za kivita kama wanaduplicate,maana pesa haina matumizi mengi ya kuhudumia bases sehemu mbalimbali