TOP 20 ya Ikulu zinazotumia magari ya kifahari duniani, Afrika zipo nchi 2 tu, Kenya ikiwemo

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
najua umesikia au unaelewa jinsi gari za viongozi wa juu wa serikali hususani marais zinavyokuwa na thamani kubwa kutokana na hadhi na uhitaji wa gari zenye usalama kwao. Basi mtu wangu wa nguvu katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na TOP 20 ya Ikulu 20 zinazotumia magari ya kifahari. Haina maana kama wengine gari zao hazina thamani ila baadhi ya hizi nchi viongozi wao wanatajwa kuamua kutumia gari hizi. Huenda ukawa hujui Afrika kuna nchi mbili tu Kenya na Morocco ndio Ikulu zake zimetajwa katika list hii. Hii ni list kwa mujibu wa therichest.com nimeisogeza kwako kama ilivyo imeandikwa na Chriss Flynn tarehe 23/01/2016

20 – Kenya0

Kenya-Mercedes-Benz-Pullman-S600.jpg

Ikulu ya Kenya wanatajwa kutumia Mercedes-Benz Pullman S600 bei yake inatajwa kufikia dola 50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 100 za Kitanzania

19 – Italia

Lancia-Thesis.jpg

Italia wao wanatajwa kutumia gari aina ya Lancia Thesis yenye thamani ya dola 65,709 ambazo ni zaidi ya milioni 140 za kitanzania.

18 – Japan

185.jpg

Hii ndio gari inayotumiwa na Ikulu ya Japan Toyota Century Royal thamani yake ni dola 85,500 zaidi ya Tsh milioni 180 za kitanzania

17 – Singapore

171.jpg

Serikali ya Singapore inatajwa kutumia gari aina ya Mercedes-Benz S350L yenye thamani ya dola 85,995 ambazo ni zaidi ya milioni 185 za kitanzania.

16 – Uzbekistan

Uzbekistan-Range-Rover-Supercharged.jpg

Ikulu ya Uzbekistan wanatumia Range Rover Supercharged bei yake ni dola 103,195 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 225

15 – Morocco

Mercedes-600-Pullman.jpg

Kwa Morocco inatumiwa Mercedes 600 Pullman bei yake ni dola 120,384 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 260

14 – Korea Kusini

144.jpg

Korea Kusini Hyundai Equus VL500 (550) Limousine yenye thamani ya dola 122,180 ndio inatumika katika nchi hiyo. yake thamani yake ni zaidi ya Tsh milioni 265

13 – Norway

136.jpg

Norway wanatumia Binz Limousine yenye thamani ya dola 128,351 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 280

12 – Brunei

Rolls-Royce-Phantom-VI.jpg

Hii inaitwa Rolls Royce Phantom VI ina thamani ya dola 148,645 ambazo ni zaidi Tsh milioni 320

11 – Ujerumani

117.jpg

Ikulu ya Ujerumani wanatumia Mercedes-Benz S600L thamani yake dola 174,890 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 380

10 – India

103.jpg

Mercedes-Benz S600 (W221) Pullman Guard thamani yake ni dola 180,000 zaidi ya Tsh milioni 390

9 – Philippines

96.jpg

Mercedes-Benz W221thamani yake dola 250,547 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 540

8 – Urusi

84.jpg

Mercedes S-Class Limousine thamani yake ni dola 251,417 zaidi ya Tsh milioni 545

7 – Malaysia

76.jpg

Maybach 62 thamani yake ni dola 394,000 zaidi ya Tsh milioni 850

6 – UK

64.jpg

Jaguar XJ Sentinel thamani yake dola 455,025 zaidi ya Tsh milioni 990

5 – Thailand

maybach-thailand.jpg

Maybach 62 Limousine thamani yake inafikia dola 500,000 zaidi ya Tsh bilioni 1

4 – Vatican

Mercedes-Benz-M-Class.jpg

Mercedes-Benz M-Class bei yake inafikia dola 524,990 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 1.1

3 – China

35.jpg

China wanatumia Hongqi Limousine ya dola 801,624 zaidi ya Tsh bilioni 1.7

2 – USA

shutterstock_Obama-Cadillac-One.jpg

Cadillac One hii inatajwa kuuzwa dola milioni 1.5 na hutumiwa na Rais wa Marekani Barack Obama zaidi ya Tsh bilioni 3.2

1 – Malkia wa Uingereza ndio anatumia gari yenye thamani kuliko zote.

116.jpg

Bentley State Limousine inatumiwa na Malkia wa Uingereza thamani yake ni dola 15,167,500 zaidi ya Tsh bilioni 33
 
Naona Benz zinaaminika sana
 
Back
Top Bottom