Top 11 world class soccer stars! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top 11 world class soccer stars!

Discussion in 'Sports' started by ELNIN0, Dec 22, 2009.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  THE TOP 11 WORLD CLASS SOCCER STARS

  FIFA/FIFPro World XI.

  1. Iker Casillas (Real Madrid),
  2. John Terry (Chelsea),
  3. Nemanja Vidic (Man Utd),
  4. Patrice Evra (Man Utd),
  5. Daniel Alves (Barcelona),
  6. Xavi (Barcelona),
  7. Andres Iniesta (Barcelona),
  8. Steven Gerrard (Liverpool),
  9. Lionel Messi (Barcelona), ( FIFA's World Player of the Year)
  10.Cristiano Ronaldo (Real Madrid),
  11 Fernando Torres (Liverpool).

  The list has been chosen by professional football
  players from all over the world over 50,000.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  this will only be true from the upside down...otherwise ni 'ubatili mtupu'....
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Mbona wanatoka ligi za spain na uingereza tu??
  Kwingine hamna wachezaji??
  Ungegusia vipaji vya latin america,
  ulaya mashariki na kwingine ningekuona kweli wewe ni mwana kandanda..lakini sasa nakuona wewe n i mshabiki wa mpira.
   
 4. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jamani wa arsenal Hata 1 huhhhhhhhhhhhh
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  its FIFA/FIFPro World XI.

  The best 11 players of the year has been chosen by over 50,000 professional football players from all over the world.
   
 6. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hii si list yangu Mkuu, Kuna chama cha wachezaji wa kulipwa duniani FIFAPro na makocha, wapo zaidi ya 50,000, hao ndo wamepiga kura kuchagua mastaa wenzao anaotikisa anga za soccer la ulimwenguni kwa sasa, Waliopata kura nyingi ndo hao kwenye list akiwemo staa wetu mpya wa dunia kwa sasa MESSI.

  Hii list pia inatambuliwa na FIFA.
   
 7. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,274
  Likes Received: 4,259
  Trophy Points: 280
  Kikosi kiko sawa , wote wanastahili kuwepo kwenye hiyo list
   
 8. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  El Nino, hii ni squad ya ukweli, and as you indicated, it was chosen by over 50,000 professional football players fro all over the world.
   
 9. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da hapa pana kazi kweli...mkuu hiyo list haijatengenezwa na mleta maada hapa jamvini bali ni list iliyotolewa na FIFA.....
   
 10. g

  gutierez JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  inakuwa mambo ya nchi fulani jina kapuni,yenyewe ndogo lakini utasikia oh mbona nchi fulani ambayo imeungana nao ina wachezaji zaidi ya nusu ktk timu ta taifa ya nchi hiyo?kazi kwelikweli
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  sometimes haya mambo ya kuchagua wachezaji ni shida tupu,
  hapo Torres kachaguliwa kwa jina tu, hakuna chochote alichofanya msimu huu, na pia ni ajabu kwa Rooney, Ribery, Lampard, Drogba kutokuwemo kwenye hicho kikosi
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Arsenal hakuna hata mmoja! Kweli Arsenal wamefulia
   
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  1. Julio Cesar
  2. Maicon
  3. evra
  4. Lucio
  5. Nesta
  6. Xavi
  7. Ronaldo
  8. Kaka
  9. Rooney
  10. Messi
  11. Kiungo mshereheshaji toka Mbinguni.

  hao FIFA ni genge la wahuni.
  Casillas, alves, vidic, terry, iniesta, gerald, na torres ni ushuzi tu kwa hao watu niliowaweka.
   
 14. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Najuwa kuna watu watakurupuka tu na kuanza kuponda hiyo orodha.

  Na ninajuwa wataanza na Nesta.
  Sasa kama kuna mtu yuko tayari kwa hilo naomba afumuke ili nimpe vigezo.
   
 15. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,274
  Likes Received: 4,259
  Trophy Points: 280
  Mkubwa nalubaliana na wewe but hii list ni ya mwaka jana 2009,ya 2010 bado haijatoka,kwa sasa
   
 16. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  hizi ni propaganda tu za wenye fedha, hivi kweli iniesta na torres wana hadhi ya kuwa humo, 4 wat hv they done this yr, tuache unafiki!!!
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Aaaah mi nataka watu waanze na Said Maulid SMG
   
Loading...