Yaani katika vyuo 100 tumeingiza viwili tu? UDSmM (6) na Kairuki(98) navipongeza hivi vyuo wakaze buti. Nini tatizo la Mzumbe, SUA, Open University, UDOM na SAUT?
Katika vyuo 100 bora Afrika kwa mwaka huu 2013 University of Dar es Salaam wamechukua nafasi ya 6 na kuanzia hapo mpaka namba 98 kuna Hubert Kariuki Memorial na hakuna chuo kingine cha Tanzania.Kwanza, naomba anayejua anisaidie kujua hii ranking inaangalia vigezo gani?Pili, je vyuo vyetu sio bora kiasi hicho, kwa mfano Kenya pamoja na Nairobi University kuwa ya 17, kuna vyuo vingine 5 katika orodha hiyo. Huku Uganda ikiingiza Makerere pekee katika nafasi ya 10.Nauliza ili nijue jamani maana kuuliza sio ujinga.Wakuu wanaJF naomba kuwasilisha.Soma mwenyewe hapa:Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking

Nilishawahi kulifafanua hili kupitia thread moja humu humu jamvini wiki chache tu zilizopita...nikipata muda nitakutafutia! In short, hao jamaa ranking yao haitokani na academic performance bali kutokana na frquency search ya versity website! Kuna taasisi moja wao ndo wanatoa ranking by academic performance. Kwenye hiyo ranking, Kairuki haipo kwenye top 100! UDSM ipo somewhere forty something...nazani 48! Kwenye hiyo ranking, Tanzania imeingiza vyuo vitatu! Kwa msimu ulioisha, MUHAS wanaongoza TZ wakifuatiwa na UDSM na lastly ni SUA!