paul chazzy
Member
- Dec 4, 2013
- 17
- 7
Kwa wale wapenzi wa miziki. Kuna online radio wanacheza miziki balaa. www.colorsconnectradio.com hata huhitaji kuwa na miziki kwenye simu yako hiyo radio ni tosha. Hamna hata matangazo. Ni miziki tu.
kwaiyo hio ndo 100 billboard?
wapo play store?
Inatumia mb kusikiliza hio radio??