Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
- quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana, (uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy
- good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
- kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4 books, online news paper everyday) .
- kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
- kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
- kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
- time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed, accuracy, balance).
- kuangalia kombe la dunia
- cijui hapa niweke nini?? ough labda
- kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98
niongezee vingine basi vya kufanya??????????/
- greatness of something in someone
Kweli JF imevamiwa,ngoja wenzako wa FB wajekukuongezea mawazo.....

sidhani kama imevamiwa... hii post itawasaidia hata na wengine (ambao hawakuwa aware) kufikiria juu yakujiwekea malengo yao kimaisha.......
- quit bad habit Kama vile kusema uongo,zinaa, kulewa sana,
(uvivu,) kupiga ok mmenielewa i want to be a good boy- good health mazoezi (1 to2 hours 4days a week), kula vizuri.
- kujifunza mambo mapya (lugha, technology, driving, reading 4
books, online news paper everyday) .- kutafuta demu wakudumu sasa ambaye nitapiga mwaka mzima.
- kutengeneza hela za kutosha. (kuandaa bussness plan, ajira ya kudumu)
- kununua sony experia na kuachana kabisa na nokia za tochi.
- time management 10 to 12 working hours (timetable,planing, speed,
accuracy, balance).- kuangalia kombe la dunia
- cijui hapa niweke nini?? ough labda
- kufanikisha hayo hapo juu kwa asilimia 98
niongezee vingine basi vya
- greatness of something in
someone
kufanya??????????/
hivi umeona kuwa daily yako imejaa ndo umeleta jf kuwajazia mamods vitu visivyoeleweka hapa?
kweli ufb ushavamia huku
Hizi Zangu Mimi Mkuu Angalia Ipi Itakufaa Uongeze Kwako
- kutumia muda kidogo zaidi kwenye mitandao
- Kumalizia Nyumba Yangu
- Kujiweka Fit zaidi (Mazoezi)
- Kupunguza Uvivu
- Kupandishwa Cheo Kazini
- Kubadilisha gari nililonalo sasa
- Kuzidisha msaada zaidi kwa Wazazi na ndugu zangu wote
- Kuzidisha mapenzi zaidi kwa nimpendae
- Kwenda Holiday mbuga za wanyama
- Kuanzisha Kibiiashara changu mwenyewe na mimi nilisaidie taifa kwa kulipa kodi na kupunguza uhaba wa ajira nchini