Hivi na familia zao za bila mtoto au wawili au mmoja na extended family ni marufuku huko kwenye vyumba wanaishi akina nani? Mimi wakuu hata na utajiri kiasi gani nyumba yangu maximum kwa sasa ni three rooms kwa umri unavyosogea. Nilijenga nyumba kubwa sana na sasa hakika sioni faida yake tena kwa kuwa hata extended family wamepungua au nisema sina wa karibu tena ni wale wa kutumia misaada huko waliko. Imagine nyumba ya three top rooms, and 4 downstairs. Achilia mbali a servant quarter of two bed rooms and a sitting room plus toilet and kitchen. Mpango ni kuhama pale, na sasa natafuta wataaam ili tubadili matumizi sambamba na ubadilishaji wa matumizi katika title iwe res/commercial.