TOP 10 makapuku tishio JF

Profile lako linaonyesha upoupo tu
tangu 2012 posts kiduchu so we ni kapuku mwenzetu

ha ha ha ha kumbe hicho ndiyo kigezo?
kuwa mkongwe ni mpaka utoe single kali nini au kuwa na mademu wa kali?
 
ha ha ha ha kumbe hicho ndiyo kigezo?
kuwa mkongwe ni mpaka utoe single kali nini au kuwa na mademu wa kali?
Mkongwe ni member wa muda mrefu JF........mfano Mimi kufikisha post 10000 fastfasra haiwezi kunifanya niitwe mkongwe
 
Mkongwe ni member wa muda mrefu JF........mfano Mimi kufikisga post 10000 fastfasra haiwezi kunifanya niitwe mkongwe

muda mrefu wa kuanzia miaka mingapi? by the way!! ka chit chat kamepoteza umaarufu wake!!
 
Back
Top Bottom