TOP 10 makapuku tishio JF

Mkuu mbona ni kishakushukuru..au umesahau

Ha ha ha, kwenye hii thread ambayo umejitangazia ubabe kwa wakongwe!

Halafu nadhani kuna harufu ya upendeleo, hii orodha itakuwa imechakachuliwa.
 
Nawatakia jumapili yenye baraka
Sio kila siku kuja na list ya wakongwe wkt kuna list nyingi tu....wafuatao ni list ya members wanaokimbiza kimya kimya na wanaokuja kwa kasi hapa JF yaani makapuku/underground/wasio maarufu JF wenye:
Most posts
Most likes
Most points

1/Phillipo Bukilo

2/MKWEPA KODI

3/Einstein newton

4/.............

5/YEHODAYA

6/Jimena

7/Pohamba

8/Barbarosa

9/Th Name

10/Mwanahabari Huru
******************

11/ribii
12/Bansen burner
13/chosen generation


SOURCE;
/>Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
hongereni !!!!!!






Jokes ;
Phillipo Bukilo verified user wa kitaa?
MKWEPA KODI Ukishikwa na Anko Magu sitakutetea !
Th Name ur name is?
Barbarosa Ni kisiwa gani hiki?
Einstein newton hujavumbua ht kishada
Bansen burner halafu Kemia una F
Mwanahabari Huru mbona hutoi habari za makapuku
Bitoz lakini hana mademu
 
Ila inabidi tuwashukuru wakongwe kwa kutuunga mkono na kutuoneasha njia
 
Back
Top Bottom